Habari Kali
Loading...

Picha za Ajali iliyotokea LEO Mchana maeneo la Mkwajuni jijini Dar ziko hapa!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Magari mawili yanayosafirisha abiria jijini Dar es Salaam, leo yamegongana katika ajali iliyotokea eneo la Mkwajuni na kujeruhi vibaya abiria wake.


Mashuhuda wa tukio hilo wamesema ajali hiyo imesababishwa na gari lililokuwa linatokea Kawe kuelekea Kariakoo lililokuwa linafuka moshi na kusababisha  njia nzima kujaa moshi na hivyo kusababisha magari hayo kugongana na kuangukia bondeni.


Chanzo kutoka eneo la ajali kimesema majeruhi wengi wamepelekwa hospitali ya Mwananyamala na Muhimbili ambapo hali zao zilikuwa hazijulikani wakati mwandishi wa mtandao huu akitoka eneo la tukio.
 
Umati wa watu ukijaribu kuokoa abiria waliokuwemo.

 
Gari lililokuwa likitokea Kawe kuelekea Kariakoo likiinuliwa.

 
Mwonekano wa gari lililodaiwa kutoa moshi na kusababisha ajali.

 
Waokoaji wakimtoa abiria aliyebanwa na vyuma.

 
Shughuli ya uokoaji ilivyokuwa.

 
Majeruhi akipelekwa kupata msaada.

 
Mwonekano wa gari lililokuwa likitokea Makumbusho kuelekea Temeke.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top