Habari Kali
Loading...

ZARI AFUNGUKA KUHUSU UVUMI KUWA HANA MAELEWANO NA BABA WA WATOTO WAKE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Zarinah “The Boss Lady” Tlale a.k.a mama kijacho au kama anavyofahamika kwa kifupi Zari, amekanusha uvumi ulioenea kuwa yeye na mme wake wa zamani ambaye ni baba wa watoto wake watatu, Ivan Ssemwanga kwa sasa hawazungumzi kutokana na kuwa kwenye mtafaruku mkubwa.
“Nina watoto watatu wa kiume wa kwanza ana miaka 12 wa pili 10 na mwingine ana miaka 8 wako poa na nina jivunia kuwa mama.” Alisema Zari kupitia E-Newz ya EATV. 
(Kuhusu baba wa wanaye watatu) “Hatuko pamoja lakini tuko poa kwasababu kuna vitu vingine vinaendelea kati yetu wakiwemo watoto na mambo mengine mengi kwahiyo tuko poa. Unajua jinsi watu na vyombo vya habari wanavyochukulia ni kama tuna ugomvi na hatuzungumzi lakini sisi tuko poa kabisa.”
Zari pia amezungumzia kuhusu uhusiano wake na Diamond kwa kusema kuwa mapenzi yao ni ya wao wawili na sio ya watu wengine hivyo hawapendani ili kuwafurahisha wengine.
“Tuko poa, tunapendana lakini hakuna info zaidi. Sitaki kutoa taarifa zaidi ambayo tunaita ‘T.M.I’ (Too Much Info) Lazima huwa kuna kuwa na mitazamo hasi na mitazamo chanya, watu wengine watasema poa wengine watasema sio poa, lakini mwisho wa siku sio kile watu wanachofikiria na sio kile watu wanachotaka lakini ni nini sisi tunataka, nini kinachotupa furaha, je tunafuraha kuwa pamoja tunataka kuwa pamoja, ndo hivyo. Hatudate kwaajili ya watu, au kwasababu wao wanataka tuwe pamoja.”

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top