Waliofika
kanisa katoliki la Mt. Francis, lililopo Nyakahoja-Mwanza, na kushiriki
misa maalum ya kumbukumbu ya kuzama kwa meli ya Mv. Victoria. Misa ya
kumbukumbu ikiendelea. Wakifuatilia misa ya kumbukumbu.
Wakiweka mauwa kwenye kaburi.Flaviana Matata akiongea neno.Sheikh akiomba dua maalum kwa ajili ya kuwakumbuka marehemu wa ajali ya meli ya MV. Bukoba....wakipiga picha ya pamoja kwenye kaburi....wakipiga picha ya ukumbusho.
Na Johnson James, MwanzaALFAJIRI ya Mei 21 mwaka 1996 – siku kama ya leo -- ni tarehe ambayo Tanzania ilipatwa na msiba mzito ambapo zaidi ya watu 600 walifariki baada ya meli ya MV Bukoba iliyokuwa ikifanya safari zake kutoka mjini Bukoba kwenda jijini Mwanza kuzama katika Ziwa Victoria ambalo liko katika eneo la nchi za Kenya, Uganda na Tanzania.
Mwanamitindo maarufu nchini na duniani, Flaviana Matata, wakati wa msiba huo alikuwa na umri wa miaka minane, alikuwa mmoja wa waombolezaji waliofika kwenye misa maalumu ya kuwaombea marehemu waliofariki katika ajali hiyo alimpoteza mama yake mzazi meli hiyo ilipozama maeneo ya Bwiru jijini Mwanza ikiwa na jumla ya abiria wapatao 800.
Katika misa iliyofanyika kwenye kanisa Katoliki huko Nyakahoja jijini Mwanza, mwana mitindo huyo wa kimataifa amesema: “Leo ni siku ambayo sitaisahau kwani ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki kwa kuzama majini na meli ya MV Bukoba katika Ziwa Victoria hivyo niungane na wenzangu waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo ambao ilitwaa maisha ya Watanzania wengi.”
Aidha, katika misa hiyo iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wa dini, wasanii na vikundi mbalimbali kama Zalendo na Bongo Ride ambao wamewasha mishumaa kwenye makaburi ya marehemu yaliyoko kitongoji cha Igoma jijini Mwanza.
Matata amesema kuwa anaiomba serikali kuhakikisha kuwa vyombo vyote vya majini vinakuwa salama ili kudhibiti ajali za majini ambazo zimekuwa zikitokea mara kwa mara.
Flaviana aliongozana na dada yake, Grace Matata, na mshindi wa Big Brother Africa, Sultan Idriss, ambaye alikuwa kivutio cha wengi katika kumbukumbu hiyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >