Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Janeth, hivi karibuni alizua kizaazaa cha aina yake baada ya kumtegea mumewe fumanizi kufuatia madai kuwa anachepuka lakini likadunda.Tukio hilo lilitokea mwanzoni mwa wiki hii, saa 5 usiku katika Mtaa wa Bigwa, Kata ya Kilakala mkoani Morogoro.
Chanzo chetu cha kuaminika kilidai kuwa, siku ya tukio Janeth alitonywa na wambeya kuwa mumewe eti yuko nyumbani kwa mwanamke mmoja ambaye ni mama n’tilie (jina halikufahamika mara moja) na ndipo alipochukua wapambe wake na kwenda kumfumania.
“Siku hiyo mimi nilikuwa nyumbani kwangu, mara Janeth akanifuata na kuniambia kuwa nimpe kampani eti akamfumanie mumewe na mwizi wake.“Kwa kuwa nimeshibana naye, tukaongozana hadi eneo la tukio lakini tulichotaka kukifanya kilishindikana kwani tulikuta wamejifungia, tukagonga mlango ndipo mwenyekiti wa mtaa huo akafika na kuomba tuache kuwasumbua.
“Wakati sisi tukiwa nje tukisubiri watoke, tukaambiwa kuwa mwanaume tayari alitoroshwa kupitia mlango wa nyuma na kutimka. Tukafanya vurugu, watu wakajaa lakini kiukweli tuliumia sana kutomnasa,” alisema mmoja wa marafiki wa karibu wa Janeth. Akizungumzia tukio hilo, Janeth alisema: “Ana bahati yake, leo ningemnasa angenitambua, amshukuru huyo aliyemtorosha.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >