IMEZOELEKA kuwa binadamu wengi hupenda kuonekana vijana hata kama
umri umeenda huku wengine wakitumia baadhi ya vipodozi, dawa za kuficha
mvi na kuvaa mavazi yanayofanya waonekane vijana japo si vijana.
Mpigapicha Kyoko Hamada (42), yeye aliamua kuwa tofauti na kuishi kwa miaka miwili akijifanya bibi kizee ili kujua hasa wazee wanavyochukuliwa katika jamii.
Hamada, ambaye ni mzaliwa wa Tokyo, Japan aliamia nchini Marekani akiwa na miaka 15 na alipata wazo hilo baada ya kujitolea kutembelea makazi ya wazee wanaoishi maisha ya upweke.
Baada ya hapo aliamua kuanza mradi aliouita jina la 'I Used To Be You' ambapo alikuwa akizunguka mitaa ya New York kama bibi kizee na kupiga picha zake tangu mwaka 2012 na ameandaa kitabu cha picha chenye kurasa 99 ambacho atakichapisha.

Picha za Kyoko Hamada kabla na baada ya kujifanya bibi kizee.
Mama huyo anaeleza kuwa wakati mwingine watu walikuwa wakifungua
milango kwa ajili ya kumsaidia huku wengine wakimsaidia mizigo yake
mizito ila jambo la kushangaza alilojifunza ni kwamba hakuna mtu
aliyeonyesha kumjali au kumtambua.
Zifuatazo ni picha za Hamda katika mradi wake huo:
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >