Habari Kali
Loading...

MZEE WA UPAKO: NILISHIRIKIANA NA WAGANGA WA KIENYEJI KUJIPATIA FEDHA ZA UTAPELI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Brighton masalu MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’ amekiri kushirikiana na waganga wa kienyeji kujipatia pesa kwa njia ya utapeli wakati akifanya biashara ya madini ya rubi.
Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Maombezi GRC, Lusekelo Antony ‘Mzee wa Upako’.
Akizungumza katika ibada maalum hivi karibuni kanisani kwake Ubungo Kibangu jijini Dar, Lusekelo alisema utapeli huo aliufanya sehemu mbalimbali ikiwemo mkoani Dodoma kwa kuhusisha sangoma hao ambapo walikuwa wakimtaka mteja kuwapatia pesa huku wakimuelekeza mahali madini hayo yanapopatikana.
Alisema baada ya zoezi la kumuelekeza mteja, wao (Lusekelo na wenzake) walitengeneza kitu kinachofanana na madini hayo ambapo mteja hutoa pesa nyingi akiamini kuwa ni madini halisi.Kuhusu waganga hao, alisema walikuwa wakiwaandaa feki ambapo walimchukua mteja aliyehitaji madini hayo na kumtoza pesa nyingi ili mganga awaelekeze mahali yalipo na baada ya hapo huchukua yale madini feki kwa wingi na kwenda kuyaficha mahali ambapo mganga alimuelekeza mteja.
Alisema utapeli wa biashara ya madini ulimfikisha nchi mbalimbali duniani lakini Neno la Mungu lilipomfuata aliungama na kuanza kumtumikia yeye (Mungu).“Ulikuwa ni utapeli wa kiwango cha juu sana, kabla ya kufikia mafanikio maishani, watu hujikuta tukipitia njia zisizo halali. Msidanganywe na mtu yeyote, mafanikio ya kweli yanakuja kwa njia halali hadi sasa kila nikikumbuka huwa nasema Mungu anisaidie sana,” alisema Lusekelo.
Baada ya ibada hiyo, baadhi ya waumini walisikika wakiguna huku wakishangaa kusikia simulizi ya utapeli ya mchungaji wao.“Mmh, kumbe mtumishi amekutana na mapito mengi sana, hadi utapeli?” walisikika baadhi ya waumini wakati wakitoka kanisani hapo. 

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top