Habari Kali
Loading...

SIRI NDOA YA THEA, MIKE KUYUMBA YAVUJA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Na Waandishi Wetu
IMEFICHUKA! Ile ndoa ya wasanii wa filamu za Kibongo, Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike’ ambayo imekuwa ikiyumba mara kwa mara chanzo kimedaiwa kilianzia kwenye ufungaji wake.Sosi wetu makini aliyeomba hifadhi ya jina lake alitutonya kuwa, ndoa ya mastaa hao ni ya mseto kwani hakuna aliyekuwa tayari kufuata imani ya mwenzake jambo lililowashangaza wengi.

Salome Urassa ‘Thea’ na Michael Sangu ‘Mike' siku ya ndoa yao.
“Siku ndoa inafungwa kanisani Thea hakulishwa sakramenti kwa kuwa alikuwa na imani ya kilokole na Mike alikuwa Romani Katoliki, hali hiyo ilileta kutofautiana mara kwa mara hata walipoingia kwenye ndoa,” kilidai chanzo hicho.
Akifafanua juu ya madai hayo Mike alisema: “Ni kweli tulifunga ndoa ya mseto lakini tangu tumefunga hii ndoa hatujawahi kuwa na amani.

“Kwa mwaka naweza kusema Thea anakaa kwangu miezi mitatu, hiyo mingine yote tukigombana kidogo tu anaenda kwao, ipo siku nitafanya maamuzi magumu,” alisema Mike.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top