Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Nimekusanya
list ya vitu 5 ambavyo kwa nchi za wenzetu kama Marekani, Ujerumani,
Hispania, Ufaransa na Bangladesh pamoja na sehemu nyingine duniani ni
vitu ambavyo kisheria vimepigwa marufuku lakini kwa huku kwetu ni halali
kabisa kutumika.
Hii hapa list ya vitu hivyo.
1. Baby Walker
Mwaka
2004 Canada ilipitisha sheria ya kukataza Baby walkers ndani ya nchi
hiyo.. walidai kwamba mtoto akitumia baby walker inasababisha mtoto
achelewe kutembea na pia kudumaza akili. Mtu yoyote atakayekutwa
anamiliki au ananunua kifaa hicho faini ni dola 100,000 au kifungo cha
miezi 6 jela.
2. Tomato Sauce #HeinzKetchup
Kama
ulihisi Tomato Sauce zote ni ruksa kila sehemu basi jibu ni hapana.
Mwaka 2011 tomato sauce ya ‘HEINZ TOMATO KETCHUP’ ilikatazwa kutumika
kwenye Kanteen za shule Ufaransa na pia ilikatazwa kusafirishwa kwa
baadhi ya nchi za Ulaya.
3. Mifuko ya Rambo.
Nchi ya kwanza kukataza mifuko ya rambo kutumika ni Bangladesh kwa sheria iliyopitishwa huko mwaka 2002.. California nako walipitisha Sheria hiyo mwaka 2012-13 na mpaka sasa hakuna sehemu utaenda California alafu ukawekewa kitu kwenye mfuko wa rambo.
4. Big g
Mwaka
1992 Singapore ilipitisha sheria iliyokataza kuuza ama kusafirisha big g
kwa nchi yoyote duniani, ila big g zitengenezwe kwa ajili ya kulika na
kununuliwa na raia wa Singapore tu. Baada ya miaka 12 yalifanyika
mabadiliko na kuruhusu watu wa Singapore kununua big g ambazo hazina
sukari yani Sugar-free chewing gums ambazo ni nzuri kwa meno na kinywa
cha binadamu. Kwa sasa utaratibu uliopo ukikutwa unatema big g chini au
unatafuna ovyo unapigwa faini.
5. Majina ya watoto
Ujerumani
na Denmark kisheria hawaruhusiwi kuwapa watoto majina yoyote nje ya
majina 7000 ambayo tayari yamepitishwa, ikitokea mtu atapenda kumuita
mwanae jina alipendalo basi atatakiwa kuomba kibali maalum kanisani
alafu baadae maombi hayo yanawasilishwa Serikalini, jina likipitishwa
basi unaruhusiwa kulitumia.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >
TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI