Habari Kali
Loading...

BAADA YA KUFILISIKA...HII NDIO KAULI YA MSANII MR. NICE KWA DIAMOND PLATINUMZ

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MKONGWE wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’ ameibuka na kufunguka kuwa siri ya kufilisika kwake ni kupenda kwake sifa kutoka kwa wapambe na matumizi mabaya ya fedha alizokuwa akiziingiza.
Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya, Lucas Mkenda ‘Mr Nice’.
Akizungumza na paparazi wetu, Nice, aliyetamba kwa staili ya Takeu, alisema wakati nyota yake ikiwa juu na kuingiza pesa nyingi kutokana na kupata shoo nyingi, alikuwa akitembea na kundi la mabaunsa, akibadilisha wanawake na kufanya matumizi makubwa yasiyo na lazima kwa lengo la kutaka sifa.
“Enzi zangu nani asiyejua kuwa nilikuwa natembea na kundi la mabaunsa, mademu na kila kumbi nikiingia basi kila mtu atajua kama Nice yuko ndani lakini mwisho wa sifa zile ni nini? Si ndiyo zimenifikisha hapa nilipo.
“Nilikuwa na kila aina ya kamati ya ufundi, mashehe, wachungaji na maaskofu, wote walikuwa wangu, lakini kwa kuwa nilikuwa nataka sifa, dua zao zilikuwa kazi bure kwa sababu nilikuwa mtu wa starehe,” alisema Mr. Nice.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasib Abdul,'Diamond Platinum' akila ujana.
NENO LAKE KWA DIAMOND
Katika kile kinachoonekana kama kumuonya staa wa sasa anayekimbiza katika Bongo Fleva, Abdul Nasibu ‘Diamond’, alisema kwa kila ‘vurugu’ anayoifanya, yampasa kumtazama yeye kama mfano halisi endapo ataendekeza maisha ya anasa na kutaka sifa.
“Diamond kwa sasa anawika, anakubalika sana, ni kama ilivyokuwa kwangu. Namsihi asijisahau. Maisha yanabadilika. Namtakia mema ndiyo maana namshauri. Aachane na maisha ya kuwafurahisha watu, atengeneze maisha yake yajayo.
“Kuna wakati muziki unakataa, hapo ndipo mawekezo yake yatakapomfanya aendelee kuishi maisha bora bila muziki,” alisema Mr. Nice.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top