Habari Kali
Loading...

BONGO MOVIE WALAANIWA...!! WASUSIA 40 YA MAREHEMU TYSON

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Stori: Gladness Mallya
Jamani! Katika hali ya kushangaza, mastaa wa filamu Bongo wamesusia kumbukumbu ya siku 40 ya aliyekuwa muongozaji maarufu wa filamu nchini, George Otieno ‘Tyson’ aliyefariki dunia kwa ajali Mei 31, mwaka huu.
Aliyekuwa mke wa George Otieno, 'Tyson', Beatrice Shayo
Shughuli ya 40 ya Tyson ilifanyika Alhamisi iliyopita nyumbani kwa aliyekuwa mkewe, Beatrice Shayo maeneo ya Sinza-Mapambano, Dar ambapo mastaa mbalimbali walialikwa lakini hakuonekana hata mmoja hali iliyosababisha chakula na futari iliyokuwa imeandaliwa kubaki huku wasanii wa vikundi waliohudhuria wakirudia mara mbilimbili.
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba
Akizungumza na gazeti hili, Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania (TAFF), Simon Mwakifwamba aliyekuwa kwenye shughuli hiyo alisema anashangaa mastaa wa filamu kukacha ishu hiyo kwani alimpa taarifa Mwenyekiti wa Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Nyerere’ kwamba awaambie wahudhurie.
“Nimewaalika wasanii wote lakini hakuna aliyekuja hata mmoja, ukweli wasanii hatuna ushirikiano kwani Tyson ndiye mwanamapinduzi aliyeigeuza sanaa kutoka kwenye kuuza sura hadi kuwa biashara hivyo walipaswa kumpa heshima yake,” alisema Mwakifwamba.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top