Habari Kali
Loading...

MTOTO ANUSURIKA KUUAWA MARA BAADA YA KUCHOMWA NA MOTO KWA KUTUMIA MIFUKO YA RAMBO NA MAMA YAKE MZAZI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
 Miguu ya mtoto Brayan iliyochomwa na mama yake mzazi.
(Picha na Fahari News)
MTOTO, Brayani Emanuel mwenye umri wa miaka sita, amenusurika kuuawa baada ya mama yake mzazi Rose Mwanisisi Mkazi wa kitongoji cha Chemchem kilichopo eneo la Mbalizi Mbeya vijijini, kujaribu kumchoma moto kwa kutumia mifuko ya manila.

Tukio hilo limetokea Julai 16 mwaka huu, ambapo imeelezwa kuwa mama huyo baada ya kurudi nyumbani kwake majira ya jioni hakumkuta mtoto,hivyo aliaanza kumtafuta na alipompata alimfungia ndani na kisha kumchoma  moto kwa kutumia mifuko ya manila.

Fahari News lilifanikiwa kuzungumza na mtoto huyo ambaye kwa sasa analelewa na Babu yake Emanuel Omary(61), alisema mama yake alipomkamata alimuingiza ndani kisha alichukua mifuko ya rambo(manila) na kumuwekea kwenye miguu yake.

Aliendelea kufafanua kuwa, baada ya mama huyo kuweka mifuko ya rambo kwenye miguu alienda kuchukua kibatari na kuanza kuunguza mifuko hiyo kwenye miguu yake licha ya mtoto huyo kuomba msamaha.

“Mama alinikuta ninacheza na wezangu  mbali kidogo na eneo la  nyumbani, alinichukua  na tulipofika nyumbani aliniambia kwamba amechoka na mimi hivyo leo atanifundisha adabu, ndipo alichukua mifuko ya rambo na kibatari na kuanza kuniunguza kwenye miguu yangu,”alisema mtoto huyo.


Amesema, wakati mama yake akiendelea na zoezi hilo la kumuunguza miguu kwa kutumia uji wa moto uliotokana na kuungua kwa mifuko hiyo ya manila yeye aliendelea kupiga kelele za kuomba msamaha mpaka majirani walivyofika na kumuokoa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top