Habari Kali
Loading...

MWANAMKE AULIA NA MCHUMBA WAKE KWA KUCHOMWACHOMWA VISU WAKATI WA SIKUKUUU

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
SIKU mbili kabla ya Sikukuu ya Eid el Fitr, binti aliyefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) (pichani), amekumbwa na mauti kufuatia kuchomwa visu mwilini na mchumba wake aliyetajwa kwa jina la Omary Idd. 
Binti anayefahamika kwa jina la Salma Khamis (21) aliyechomwa kisu na mchumba wake,Omary Idd
 Tukio hilo lilitokea Julai 27, mwaka huu katika Kijiji cha Mnemela  wilayani Kibaha, Pwani kufuatia ugomvi wa mara kwa mara wa wawili hao unaosadikiwa ulitokana na wivu wa mapenzi.
 Kwa mujibu wa chanzo chetu, mwanaume huyo alikuwa akimtuhumu Salma kwamba alikuwa na mwanaume mwingine mwenye gari, hivyo yeye akajiona hana chake ndiyo chanzo cha kuamua kumtoa uhai msichana huyo ambapo alimfuata kwa mama yake mkubwa alikokuwa na kumchoma visu mwilini hadi kufariki dunia.
 Akisimulia tukio hilo la kusikitisha, baba mzazi wa marehemu Salma, Khamis Mbegu alisema kifo cha binti yake kimemuuma sana kwani ameuawa kinyama na siku alipopata taarifa hakuamini.
 

Ndugu na jamaa wa karibu wakiuaga mwili wa marehemu,Salma Khamis.   “Sikutegemea haya yaliyotokea, ni kweli walikuwa na ugomvi, wakaja kwangu kuwasuluhisha ndicho tulichokifanya, lakini  Salma alionesha msimamo wake wa kutokuendelea kuwa na Omary kwa sababu ya mateso na masimango aliyokuwa akimfanyia.
 “Alishawahi kumpeleka porini na kutaka kumuua kama tu angesema hampendi, ikabidi aseme anampenda ili kuokoa uhai wake, hivyo alikuwa na shaka naye ndiyo maana hakutaka kuendelea na uchumba wao,” alisema baba huyo.
 Aidha, ilielezwa kuwa mtuhumiwa ni mwenyeji wa Mkoa wa Singida, hivyo hata ndugu wa marehemu Salma hawajui anatoka kijiji gani wala kumtambua ndugu yake yeyote.
 Kufuatia tukio hilo la mauaji, mtu mmoja anayedaiwa ni mshenga wa Omary, anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani kwa upelelezi zaidi.
Kamanda wa polisi wa mkoa huo, SACP  Ulrich Matei  alisema taarifa za kifo hicho amezipokea ambapo marehemu alichomwa visu sehemu mbalimbali za mwili na mtuhumiwa alikimbia lakini mshenga wake anashikiliwa kwa upepelezi zaidi kwa kuwa ndiye aliyekuwa ameongozana naye.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top