Habari Kali
Loading...

UKATILI WA AJABU...MUME AMUUNGUZA VIBAYA MKE WAKE SEHEMU ZA SIRI KWA KIJINGA CHA MOTO..TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Samahani kwa picha hizo lakini napenda kukufahamisha kuwa huyo mhanga anaitwa Agness Marwa mwenye umri wa miaka 18 mkazi wa kijiji cha Mrito , wilayani Tarime.Alifanyiwa ukatili huo na mume wake aitwae Marwa Chacha mnamo tarehe 13/7/2014, baada ya kukuta Tsh 2,000/= kwenye pochi ya mhanga.


Baada ya kumtuhumu kuwa amepewa fedha hizo na wanaume, ndipo akaamua kumpiga na kumfunga kamba na kumweka nje wakati mvua inanyeesha, kama hiyo haitoshi akaaenda jikoni na kuchukua kiginga cha moto na kuanza kumuunguza kama picha zinavyoonesha
Mutuhumiwa ametoroka, na mhanga kwa mila za kikurya alificha hilo tukio hadi tarehe 17/7/2014 ndipo akapelekwa hospitali ya Sungusungu iliyoko Nyamongo.
Kamanda wa polisi kanda maalumu anasema mtuhumiwa pamoja na mama yake wametoroka na hii ni baada ya kuchelewa kutoa taarifa ,hata hivyo jeshi la polisi linaendelea kufanya upelelezi ili waweze kumkamata mthumiwa na kumpeleka kwenye vyombo vyenye Mamlaka.
Shirika la sheria na haki za binadamu Tarime(SHEHABITA) linaendelea kufuatilia tukio hili kwa karibu na kutoa rai kwa wananchi kuacha kufanya ukatili dhidi ya wanawake na watoto

TIZAMA PICHA JINSI ALIVYOUNGUZWA.....PLEASE NASISITIZA PICHA SIO NZURI KABISA..18++
>>PICHA YA KWANZA<<

>>PICHA YA PILI<<

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top