Habari Kali
Loading...

VIDEO QUEEN WA LINEX ATISHIWA KUUAWA, KISA KUZAA NA MUME WA MTU...!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Video Queen wa mwanamuziki Sunday Mangu ‘Linex’ aliyeng’arisha Wimbo wa Ifola, Janeth Bundala amedai kutishiwa maisha na mfanyabiashara mmoja aliyemtaja kwa jina la Johari Ali, kisa kikiwa ni kuzaa na aliyekuwa mpenzi wake.
Akizungumza na paparazi, Janeth alisema mama huyo ambaye anamheshimu sana hakutarajia kama angeweza kumtishia maisha wakati mwanaume anayetajwa alishaachana naye.
“Yule mwanaume niliyezaa naye ni kweli alikuwa mpenzi wa yule mama lakini walishaachana, sasa nashangaa ananitumia sms za vitisho.
Nimekwenda kutoa taarifa polisi na kumfungulia jalada la kesi lenye namba KJN\RB\6333/14, chochote kitakachonikuta ataisaidia polisi,” alisema Janeth.
Paparazi alimpigia simu Johari na kumsomea mashitaka yake ambapo  alisema yuko China na hamjui Janeth.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top