Habari Kali
Loading...

AFIKISHWA KIZIMBANI BAADA YA KUUA WATOTO WAKE WAWILI KISA WIVU WA MAPENZI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

MTUHUMIWA wa mauaji ya kulipiza kisasi cha kukataliwa kimapenzi, Bonas Mripa (38), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mfawidhi Wilaya ya Tunduru kujibu tuhuma za mauaji ya watoto wawili..


Akiwasomea shtaka hilo la mauaji namba 5/2014 mbele ya Hakimu wa Mahakama hiyo, Felix Nyalada, Mwendesha Mashtaka Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Inspekta Songelael Jwagu, alidai kuwa mtuhumiwa huyo alifanya kosa hilo Agosti7, mwaka huu kwa kuwaua watoto wawili Vairetih Nilai (8) na mdogo wake Cosmas Nilai (5).


Inspekta Jwagu alidai kuwa mtuhumiwa huyo anadaiwa kula njama na kuua watoto hao baada ya kuvamia nyumba walimokuwa wakiishi na kuichoma moto wakati walipokuwa wamelala saa 7 usiku.


Inspekta Jwagu alidai kwamba, kosa hilo ni kinyume cha kifungu namba 196 sura ya 16 cha kanuni ya adhabu kama ilivyofanyiwa mabadiliko mwaka 2002.


Hata hivyo, mtuhumiwa huyo hakutakiwa kujibu shtaka hilo kwa kuwa mahakama hiyo haina mamlaka ya kusikiliza kesi hiyo. Kwa mujibu wa Inspekta Jwagu, upelelezi wa shauri hilo bado haujakamilika na mtuhumiwa alirejeshwa rumande hadi Agosti 22, mwaka huu kesi inakapotajwa tena.

Taarifa za awali kuhusiana na tukio hilo zinaeleza kuwa, chanzo cha mauaji hayo ni kulipiza kisasi baada ya mtuhumiwa kukataliwa kimapenzi na mama wa watoto hao.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top