Habari Kali
Loading...

UNYAMA...!! Mtoto Auawa kwa KIPIGO na baba yake mzazi

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
JESHI la Polisi Wilaya ya Sumbawanga, mkoani Rukwa, linamtafuta mkazi wa Malangali, Bw. Saimon Paskali kwa kosa la kuwapiga watoto wake, kumuua mmoja na kukimbia kusikojulikana.
 
Tukiio hilo limetokea usiku wa kuamkia jana baada ya mtuhumiwa kurudi nyumbani akitokea kwenye Sherehe ya Komonio akiwa amelewa na kuanza kuwapiga watoto wake kwa fimbo hadi wakazirai.
 
Akizungumzia tukio hilo, Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani humo, Frednandi Rwegasila, alisema mtuhumiwa alikuwa akiishi na watoto muda mrefu baada ya kuachana na mkewe.
 
Aliwataja watoto hao kuwa ni Daniel Paskali (11) ambaye ndiye aliyefariki na Jackson Paskali (9) ambao baada ya kuzirai kwa kipigo na mtuhumiwa kukimbia, majirani walikwenda kutoa msaada wa kuwapeleka hospitali.
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi ACP Dhahiri Kidavashari
Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Katavi ACP Dhahiri Kidavashari
 
“Wakiwa njiani, Daniel alifariki dunia wakati Jackson amelazwa katika Hospitali ya Mkoa akiendelea kupatiwa matibabu na ameumizwa sehemu mbalimbali ya mwili wake,” alisema.
 
Kamanda Rwegasila alisema jeshi hilo linaendelea kumsaka mtuhumiwa ili aweze kufikishwa mahakamani.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top