Habari Kali
Loading...

MUUZA KITIMOTO AJINYONGA KATIKA BANDA LA KUKU..!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
KIFO bwana! Kijana Joel Mathayo Kalinga ‘Diamond’ (30) ambaye ni muuza nyama ya nguruwe ‘kitimoto’ amekutwa amejinyonga na kufa kwenye banda la kuku.
Mmoja wa waombolezaji akiandaa mwili wa marehemu Joel Mathayo Kalinga ‘Diamond’ (30) kwa ajili ya kuagwa.
Tukio hilo lilitokea Julai 15, mwaka huu, Mwananyamala Kwamsisiri jijini Dar. Marehemu anadaiwa alikuwa mwajiriwa wa mtu aliyetajwa kwa jina moja la Rudo.
...Mwili wa marehemu ukiwa ndani ya jeneza.
Waandishi wa Amani walifika eneo la tukio na kuwakuta majirani wakiizunguka nyumba ya tajiri huyo kwa lengo la kutaka kujua hatima ya kijana huyo kujinyonga kiutatanishi.
Awali ilielezwa kuwa, marehemu alikuwa akilalamikia hali ngumu na kukosa pesa za matumizi yake mbalimbali.
Raia wenye hasira kali wakimuhimiza mfanyakazi mwingine wa bosi wa marehemu ('Rudo') awaonyeshe nyumbani kwa bosi wake.
Akisimulia sakata hilo, Mwenyekiti wa Mtaa wa Mwanayamala Kwamsisiri, Mohamed Mkandu alisema kuwa alipokea taarifa za tukio hilo kwa masikitiko makubwa na akawaomba ndugu wa marehemu kuwa na subira wakati uchunguzi wa tukio hilo ukiendelea.
...Mfanyakazi huyo wa Bosi 'Rudo' akiwaonyesha raia mahali apoishi tajiri wake.
“Ninachoweza kusema ni kwamba, kilichopangwa na Mungu mwanadamu hawezi kukipangua. Marehemu alikuwa kipenzi cha watu na ndiyo maana majirani wamejaa hapa kutaka kujua hatima,’’ alisema mwenyekiti huyo.
Mwenyekiti wa Mtaa, Mohamed Mkandu (wa pili kulia) akiwasihi raia wapunguze jazba.
Kaka wa marehemu, Matokeo Kalinga akisimulia tukio hilo naye alisema alipokea taarifa ya kifo cha mdogo wake kwa masikitiko kutokana na sehemu aliyokutwa amejinyongea kutokuiamini, akasema ili aamini mpaka apate majibu kutoka kwa daktari baada ya kuupima mwili huo.
Raia wenye hasira kali wakiwa nje ya geti la nyumba ya tajiri huyo.
Hata hivyo, kwa mujibu wa madaktari wa Hospitali ya Mwananyamala jijini Dar, marehemu alijinyonga mwenyewe. Ndugu hawakuamini majibu hayo wakaamua kuupelekwa mwili Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) ambako mpaka gazeti hili linakwenda mitamboni, majibu hayakuwa wazi.
Marehemu Joel Mathayo Kalinga enzi za uhai wake.
Mwili huo ulitarajiwa kusafirishwa juzi kwenda Kijiji cha Ihefu mkoani Iringa kwa mazishi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Camilius Wambura alithibitisha kutokea kwa kifo hicho na kusema bado uchunguzi unaendelea na kwamba atasema chochote baada ya kupata majibu ya madaktari wa Muhimbili. 

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top