Habari Kali
Loading...

TAMASHA LA MATUMAINI: YEMI ASEMA ANAKUJA KUMTEKETEZA SHILOLE KWENYE JUKWAA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MKALI wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade amesema yupo tayari kuja kumteketeza mkali wa miondoko ya mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ katika Tamasha la Usiku wa Matumaini litakalofanyika Agosti 8, katika Uwanja wa Taifa jijini Dar.
Mkali wa muziki kutoka pande za Nigeria, Yemi Alade.
Akizungumza na Over The Weekend, kwa njia ya simu, Yemi ambaye ametokea kujizolea umaarufu mkubwa kupitia wimbo wa Johnny, alisema kuwa amejipanga vya kutosha na haoni kama kuna mwanamuziki atakayemsumbua hapa Bongo huku akisisitiza anakuja kumteketeza Shilole ambaye aliambiwa kuwa anatisha Bongo.
“Tanzania ni nchi nzuri najua na wanamuziki wake wapo vizuri, nimeambiwa kuna mwanamuziki anaitwa Shilole mwambieni tu nakuja kumteketeza na shoo zangu huwa hazina mpinzani.
“Nitafanya shoo ya mwaka ya kihistoria siku hiyo na lazima nimchukue Johnny wangu uwanjani hapo na kurudi naye kwetu Nigeria,” alisema Yemi.
Zuwena Mohamed ‘Shilole’.
Yemi anatarajiwa kushuka Dar kesho Jumanne saa tano kamili usiku na Shirika la Ndege la Kenya Airways, tayari kwa kupiga shoo ya kufa mtu ambapo ataungana na wakali kutoka Bongo kama Ali Kiba, Shilole, R.O.M.A, Meninah, Navy Kenzo, Nyandu Toz, P-Plan, Juma Nature na kundi zima la TMK Wanaume Halisi pamoja na Rais wa Manzese, Madee.
Pia kutakuwa na burudani tofauti katika tamasha hilo ambazo ni ndondi, mechi kali kati ya timu ya Azam FC dhidi ya Mtibwa Sugar FC, Wabunge Mashabiki wa Simba dhidi ya Yanga, Bongo Fleva dhidi ya Bongo Movie na Wanamuziki wa Injili.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top