Habari Kali
Loading...

MAIMARTHA AMKANA MGANGA WAKE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Maimartha wewe ni mtangazaji mzuri wa Bongo, naomba uwe shosti wangu wa kubadilishana mawazo. Salim Liundi, Dar, 0659601205
MAIMARTHA: Asante, kuhusu kuwa shosti, karibu sana hamna shida.
Mtangazaji nguli katika tasnia ya utangazaji, Maimartha wa Jesse.
ALIANZA LINI UTANGAZAJI?
Ni wazi kabisa wewe ni nguli katika tasnia ya utangazaji ila napenda kufahamu ulianza lini fani ya utangazaji? Amiri Salumu, Dar, 0653252416
MAIMARTHA: Utangazaji nilianza miaka tisa iliyopita.
KABILA
Kwanza nakupa pongezi kwa kutokuwa na skendo, mimi nataka kujua wewe ni kabila gani na ni mzaliwa wa mkoa gani? Selemani Alifa, Dar, 0718803204
MAIMARTHA: Kabila langu ni Mchaga na nimezaliwa Morogoro.
HISTORIA
Mambo mumy, ningependa kujua historia yako kwa ufupi. Msomaji, 0712611705
MAIMARTHA: Mimi ni mtoto wa sita kati ya saba tuliozaliwa katika familia yetu, nina elimu ya kidato cha nne na chuo cha uandishi wa habari na utangazaji.
ANAUZA DAWA?
Hivi ni kweli dada Maimartha ulimsuta Sajo kwa ajili ya umbeya wake na kweli dukani kwako una dawa za kuongeza makalio? Msomaji, 0713455487
MAIMARTHA: Ni kweli nilimsuta Sajo lakini siyo kwa roho mbaya ila nilitaka tu aache umbeya, kuhusu dawa njoo dukani kwangu kwa maelezo zaidi.
HUYU ANATAKA KUJUA
Je, Maimartha umeolewa na una watoto dada yangu?  Gerald Soso, Dar, 0713565435
MAIMARTHA: Nimeolewa na nina watoto.
VIPI KUHUSU KINYAIYA
Ule umoja na Kinyaiya (Ben) bado upo? Mallya, Moshi, 0787978702
MAIMARTHA: Umoja upo mpaka sasa kwa sababu Kinyaiya ni kaka yangu.
DARAJA LA USTAA
Nakupongeza kwa kuwa MC (mshereheshaji) mzuri na mzoefu. Je, wewe binafsi unajiweka kwenye daraja gani la ustaa? Prince Dulla, Dom, 0758327997
MAIMARTHA: Ustaa wangu ni wa kawaida tu, ninamheshimu kila mtu ila niko kwenye daraja la kwanza kwa sababu mimi ni binti mwenye maadili ya Kitanzania.
ANA MGANGA WAKE?
Mimi nakufahamu vizuri Maimartha na mimi ndiye niliyekufanyia mpango wa kukutoa katika utangazaji lakini usilolijua ni sawa na usiku wa giza, umetoka kimaisha hutaki kunisikia, simu yangu hupokei ila mimi ni mganga wako nilikusaidia sana. Mr Kapaula, Dar, 0716941832
MAIMARTHA: Mimi mganga wangu ni Yesu tu, sikufahamu.
KUHUSU KUMSUTA SAJO
Dada Maimartha nina swali dogo kwako, hivi uliwaza nini mpaka mkaenda kumsuta kijana wa watu Sajo, unavyoona lilikuwa jambo la busara na haki kwa mtoto wa kiume? Tafakari kabla ya kutenda. Abuu Sungura, Dar, 0654799098
MAIMARTHA: Siku hizi kina mama wengi wanawasuta watu kwa matusi lakini mimi niliona ni vyema nimnunulie keki na shampeni na ni kwa nia nzuri tu ili kutojishushia heshima katika jamii.
ALIWAHI KUWA NA WAPENZI WANGAPI?
Mimi napenda kujua kabla ya kuwa na mume wako uliwahi kutoka na wapenzi wangapi na kwa nini ulimtosa marehemu P.Didy? Chiku Ashery, Tanga, 0712791665
MAIMARTHA: Namheshimu mume wangu na wakwe zangu hivyo siwezi kuzungumzia mambo yaliyopita.
HUYU ANAHOJI
Nakupa hongera kwa kazi nzuri ila napenda kufahamu una elimu gani? Diana John, Tarime, 0762618265
MAIMARTHA: Nina elimu ya kidato cha nne na cheti cha uandishi wa habari na utangazaji.
MBONA KIMYA?
Eti dada yangu una mtoto mmoja au una wengine nje? Halafu  siku hizi huvumi sana au ndiyo unaiheshimu ndoa? Msomaji, 0659528785
MAIMARTHA: Naona umejijibu mwenyewe, ni kweli nina watoto wengine ambao ni wa mume wangu, nawapenda sana, kuhusu kuvuma ni kwamba nimeshaolewa lazima nijiheshimu.
KUVAA KIMINI MSIBANI
Hivi ulipokuja pale Leaders kwenye msiba wa Kuambiana na kile kinguo ulikuwa umetoka klabu? Fariji Yusuph, Dar, 0762600630
MAIMARTHA: Nilitokea kwenye uandaaji wa vipindi vyangu vya tv hivyo nikaona ni vyema nikamsindikize mwenzangu katika safari yake ya mwisho.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top