Habari Kali
Loading...

UTAJIRI WA DEVOTA WAWASHTUA WASANII

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MSHANGAO! Baadhi ya wasanii wa Klabu ya Bongo Movie Unity wamejikuta wakipigwa butwaa baada ya kutinga nyumbani kwa staa mwenzao, Devota Mbaga ambaye ni katibu wa klabu hiyo na kukuta akiishi maisha ya kifahari.
Katibu wa klabu ya Bongo Muvi, Devota Mbaga.
Akipiga stori na gazeti hili, mmoja wa wasanii ambao walitia timu nyumbani kwa msanii huyo, Kigamboni, Dar ambaye hakuwa tayari jina lake lichorwe gazetini alisema, ilikuwa ni kama maajabu kwao kwa kukuta nyumba ya kifahari na kujua miradi yake mbalimbali lakini haringi.
“Kusema ukweli tumeshtuka, hatukutegemea kabisa, tulijua maisha yake ni ya kawaida, maana siyo mtu wa kujivuna kama wengine wenye nazo, nahisi kwa maisha aliyonayo sidhani kama yupo mdada wa Bongo Movie anayempata kwa utajiri alionao,” alisema msanii huyo.
Alipoulizwa Devota kuhusu ishu hiyo, aliishia kuangua kicheko na kusema mafanikio yake hayatokani na shughuli za sanaa pekee bali anajihusisha na miradi mbalimbali.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top