Vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia bado
vinaendelea Zanzibar baada ya watu
wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma
za kubaka.
Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka
huu Muhammed Khafidh Thabit (50),
anadaiwa kumbaka mtoto wake wa
kumzaa mwenye umri wa miaka 14.
Mtuhumiwa huyo alimuingilia binti yake
huyo kinyume na maumbile na
kumsababishia madhara makubwa
mwilini wake.
Akizungumzia kuhusu tukio hilo,
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja, Mkadam Khamis
Mkadam, alisema tukio hilo limetokea
eneo la Misufini.
Alisema baada ya kuhojiwa mtoto huyo,
alisema baba yake alikuwa akimlazimisha
kufanya mapenzi baada ya mama yake
kutengana na baba huyo.
Alisema uchunguzi wa kidaktari
umeonesha kuwa mtoto huyo
ameingiliwa mbele na nyuma.
Katika tukio lingine la mkoa wa Kusini
Unguja Polisi inamshikilia Ali Hashim Ali
(27) mkazi wa Mwera visiwani hapa kwa
tuhuma za kumuingilia mtoto wa kiume
mwenye umri wa miaka tisa.
Kamanda wa polisi mkoani humo, Juma
Said Khamis alisema kijana huyo
alimrubuni mtoto huyo kwa kumuahidi
kuwa atampatia mbuzi wa kufuga. Alisema mtuhumiwa huyo alimchukua
mtoto huyo na kumpeleka katika boma la
nyumba na kumfanyia kitendo hicho cha
kinyama.
Alisema mtuhumiwa ameshawahi
kuwalawiti watoto wengine wawili wa
kiume.
Watuhumiwa wote wapo chini ya ulinzi.
Akihutubia Baraza la Idi hivi karibuni, Dk
Ali Muhammed Shein alikemea vitendo
vya udhalilishaji na kutaka vipigwe vita.
Alisema takwimu za vitendo vya
udhalilishaji zinaonesha kuendelea
kuwepo kwa vitendo hivyo licha ya
jitihada zinazochukuliwa na serikali na
kushiriana na wanaharakati.
vinaendelea Zanzibar baada ya watu
wawili kushikiliwa na polisi kwa tuhuma
za kubaka.
Katika tukio lililotokea Agosti 4, mwaka
huu Muhammed Khafidh Thabit (50),
anadaiwa kumbaka mtoto wake wa
kumzaa mwenye umri wa miaka 14.
Mtuhumiwa huyo alimuingilia binti yake
huyo kinyume na maumbile na
kumsababishia madhara makubwa
mwilini wake.
Akizungumzia kuhusu tukio hilo,
Kamanda wa Polisi mkoa wa Mjini
Magharibi Unguja, Mkadam Khamis
Mkadam, alisema tukio hilo limetokea
eneo la Misufini.
Alisema baada ya kuhojiwa mtoto huyo,
alisema baba yake alikuwa akimlazimisha
kufanya mapenzi baada ya mama yake
kutengana na baba huyo.
Alisema uchunguzi wa kidaktari
umeonesha kuwa mtoto huyo
ameingiliwa mbele na nyuma.
Katika tukio lingine la mkoa wa Kusini
Unguja Polisi inamshikilia Ali Hashim Ali
(27) mkazi wa Mwera visiwani hapa kwa
tuhuma za kumuingilia mtoto wa kiume
mwenye umri wa miaka tisa.
Kamanda wa polisi mkoani humo, Juma
Said Khamis alisema kijana huyo
alimrubuni mtoto huyo kwa kumuahidi
kuwa atampatia mbuzi wa kufuga. Alisema mtuhumiwa huyo alimchukua
mtoto huyo na kumpeleka katika boma la
nyumba na kumfanyia kitendo hicho cha
kinyama.
Alisema mtuhumiwa ameshawahi
kuwalawiti watoto wengine wawili wa
kiume.
Watuhumiwa wote wapo chini ya ulinzi.
Akihutubia Baraza la Idi hivi karibuni, Dk
Ali Muhammed Shein alikemea vitendo
vya udhalilishaji na kutaka vipigwe vita.
Alisema takwimu za vitendo vya
udhalilishaji zinaonesha kuendelea
kuwepo kwa vitendo hivyo licha ya
jitihada zinazochukuliwa na serikali na
kushiriana na wanaharakati.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >