Wananchi wakitazama eneo la tukio |
Kijana mmoja anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 30-32 ambaye hajafahamika majina wala makazi yake ameuawa kwa kupigwa mawe, kisha kuchomwa moto na wananchi wanaodaiwa kuwa na hasira, baada ya kutuhumiwa kutapeli pikipiki.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa tano asubuhi katika mtaa wa Nyihogo, eneo la Mnazi Mmoja, Barabara ya Tabora Karibu na Ofisi za halmashauri ya Mji wa Kahama Mkoani Shinyanga.
Tukio hilo limetokea leo majira ya saa tano asubuhi katika mtaa wa Nyihogo, eneo la Mnazi Mmoja, Barabara ya Tabora Karibu na Ofisi za halmashauri ya Mji wa Kahama Mkoani Shinyanga.
Gari la Polisi likiondoka eneo la tukio baada ya kuuchukua mwili wa Marehemu |
Taarifa za awali zinadai kwamba mtuhumiwa huyo ambaye kwa sasa ni marehemu inadaiwa alikodisha Pikipiki hiyo zaidi ya Miezi mitatu iliyopita katika eneo la Maegesho ya Daladala za Pikipiki katika Lango kuu la hospital ya Wilaya hiyo.
Aidha Mmiliki wa Pikipiki hiyo ambaye hajafahamika mara moja wala namba ya pikipiki, inadaiwa alimkamata leo maeneo ya mtaa wa Shunu Kata ya Nyahanga ambapo aliamua kumpeleka katika kituo cha polisi akiwa amemfunga kamba.

Imeelezwa kuwa baada ya wananchi kuona mtuhumiwa amefungwa kamba ndipo wakamuuliza mmiliki huyo ambaye aliwaeleza, na ghafla wananchi wakaanza kumshambulia kwa mawe na kisha kumchoma Moto.
Hata hivyo farajimfinanga.com imefika katika eneo la Tukio na kukuta jeshi la polisi wilayani Kahama likipakiza mwili wa marehemu na kuupeleka katika chumba cha kuhifdhia maiti Katika hospitali ya Wilaya Hiyo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >