Habari Kali
Loading...

STEVE NYERERE, MTITU WAFIKA PABAYA!! WANA BIFU ZITO SANA, KISA NI URAISI WA BONGO MOVIE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MWENYEKITI wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ na katibu wake, William Mtitu wamefika pabaya kwa kudaiwa kushindwa kusalimiana huku kila mmoja akificha sura asikutane na mwenzake.
Tukio lililodhihirisha kuwa wawili hao hawaivi, lilichukua nafasi juzikati katika Viwanja vya Leaders Club vilivyopo Kinondoni jijini Dar, kulipokuwa na uzinduzi wa filamu iliyokwenda kwa jina la Mateso Yangu Ughaibuni.
Mwenyekiti wa Klabu ya Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’
Wakati shamrashamra za uzinduzi zikiendelea, paparazi wetu aliwashuhudia wawili hao wakiombwa wapige picha kwa pamoja ambapo hakuna aliyekuwa tayari kutimiza zoezi hilo, wakachengana kwa kila mmoja kuchukua njia yake.
Wakizungumza na paparazi wetu, baadhi ya mastaa walioshuhudia kituko hicho, walisema Steve Nyerere na Mtitu wanatakiwa wakae pamoja wamalize tofauti zao hata kama mmoja wao hatorudi katika kiti chake cha uongozi lakini kwa heshima waliyojijengea katika tasnia ya filamu hawapaswi kuwa na mabifu.
Mkurugenzi wa Kampuni ya 5 Effects Movies Ltd, William Mtitu ndani ya Global.
“Sasa hawa ndio nini wanachokifanya? Wanaombwa kupiga picha ya pamoja kila mtu anatoa sababu zake lakini sidhani hizo sekunde kadhaa za kupiga picha zinaweza kuharibu ratiba zao,” alisikika muigizaji mmoja hivi maarufu.
Baada ya kupata maelezo hayo kutoka kwa muigizaji huyo aliyeomba hifadhi ya jina, paparazi alimvaa Mtitu na kumuuliza kulikoni kugoma kupiga picha na mwenyekiti wake ambapo alijibu kuwa hakujua kama anatakiwa kufanya hivyo.
“Siwezi kugoma hata siku moja kwani mimi nina uhuru wangu vilevile sikujua kama wapiga picha wanataka picha yetu ya pamoja,” alisema Mtitu.Kwa upande wake Steve, alipoulizwa kuhusiana na tukio hilo, alijibu kwa mkato akionesha kulipuuza.“Achana na hayo mambo kuna mengi ya kufanya,” alisema Steve Nyerere.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top