Habari Kali
Loading...

AMA KWELI TABIA YA MTU NI KAMA NGOZI, HAIBADILIKI KAMWE...!! SOMA STORY HII YA KUSIKITISHA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Katika tembea tembea zangu nilikutana na msichana mmoja ambaye tulipendana na kuamua kuoana, kabla ya hapo tukiwa kwenye harakati za kuoana nilipata vikwazo vingi tu kutoka kwa marafiki na ndugu pia, nilipata maneno mengi kwamba binti huyo hafai na amekuwa na tabia nyingi za ajabu ikiwemo kuwa na wanaume wengi, pia ni mlevi sana Nilipuuzia kwakua nilimpenda na pia niliamia pia ningeweza kumbadilisha.

Niliziba masikio kwa yote waliyokuwa wakiongea, mpaka kufanikisha harusi na kumuoa binti huyo kipindi kile baada tu ya kumuoa alionekana ni mwanamke aliyetulia na mtiifu. Nilikaa nae mara kwa mara na kumpa michakato ya maisha na nini tufanye ili kujikinga na vishawishi. Alionekana ni mwenye kuelewa sana kwakweli alinipa moyo hata kunifanya nisahau yote watu walio kuwa wakiongea.

Baada ya miezi sita tu toka tufunge ndoa tabia zake zilianza kubadilika na ghafla akawa mtu mwenye kiburi sana. Siku moja nilirudi nyumbani mapema kidogo nikapita chumbani moja kwa moja, mke wangu hakujua kama ningeweza kurudi mida hiyo nilikuta pochi yake iko kitandani , yeye alikuwa jikoni akipika . Sikuwa na mazoea kabisa ya kupekuwa pochi lake ila siku hiyo nilijikuta nikiingiza mkono kwenye pochi hilo,  kitu cha kwanza kukutanacho ni simu nikaitoa , ni simu ngeni ambayo sikuwi kumona nayo mke wangu hata siku moja. Niliificha na kuiweka mfukoni haraka, baada ya hapo nilimuaga mke wangu na kumuambia kwamba kuna form nilizifuata tu mara moja narudi kazini.

Baada ya muda mfupi mke wangu alinipigia simu kuniuliza kuhusu simu ambayo haioni, nikamuuambia "sijaona simu kwani mke wangu una sim nyingine,?" akajibu sio yangu ni ya rafiki yangu alinipa nimpelekee kwa fundi. Nilikimbia moja kwa moja kwa rafiki yangu yeye ni mtutu sana wa simu aliiwasha na kuifungua kitu nilicho kunana nacho sikuweza kuamini macho yangu, kulikuwa na wanaume zaidi ya watatu anachati nao na kuwatumia picha zake alizokuwa yuko nusu uchi, huku akiwasifia kuwa wanajua sana mapenzi na wanamridhisha. Niliishiwa na nguvu na kuamua kuondoka. Nilirudi nyumbani nikiwa njiani alikuwa akipiga sana simu huku akionekana ni mtu mwenye wasi wasi sana akiuliza simu iko wapi. Nilipofika nilimuonyesha ile simu na kufungua meseji zote alizokuwa akichati na wanaume ili azione.

Akaanza kulia sana huku akijifanya anaomba msamaha nilikumbuka sana maneno waliyokuwa wakisema watu pamoja na ndugu zangu. Nilitamani nijikimbie kwa aibu wala sikuweza kwenda kumsimulia mtu yoyote kwani nilishaambiwa nikapuuzia. Nilimuambia tu akusanye kila kilichokuwa chake na aondoke zake, Siku hiyo hiyo alibeba vitu vyake na kuondoka. Iliniuma sana na mpaka sasa sitaki hata kukumbuka kwani sina hamu tena ya hata kumuona.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top