Habari Kali
Loading...

ANGALIA HII VIDEO ALICHOFANYIWA BAADA YA KUMSHIKA MCHEZAJI MWENZAKE MAKALIO UWANJANI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Muamuzi Manuel Zeleya ameingia katika lindi la lawama kutoka kwa wachezaji pamoja na viongozi wa klabu ya Marathon inayoshiriki ligi kuu ya nchini Honduras, kufuatia adhabu ya kadi nyekundu aliyompa mlinda mlango wa klabu hiyo.


Viongozi pamoja na wachezaji wamekuwa wakimlalamikia muamuzi huyo kufuatia maamuzi mazito aliyoyachukua, na kupelekea kikosi chao kicheza pungufu.


Muamuzi Zeleya alichukua jukumu la kumuadhibu mlinda mlango wa klabu ya Marathon, Junior Morales wakati wa mchezo wa ligi uliowakutanisha na Real Sociedad, kutokana na utovu wa nidhamu aliouonyesha wa kumshika makalio kwa makusudi mchezaji wa timu pinzani.


Hata hivyo muamuzi huyo hakuona kosa hilo, mpaka pale aliposhtuliwa na msaidia wake namba mbili, na katika hali ya mshangao alichukua maamuzi ya kumuonyesha kadi nyekundu Junior Morales na mwisho wa mambo aliamuru mkwaju wa penati kupigwa kwenye lango la Marathon.


Wakati maamuzi hayo yanachukuliwa tayari timu hizo zilikuwa zimefungana bao moja kwa moja.


Katika picha za televisheni Junior Morales ameonekana akimshika makalio mshambuliaji wa Real Sociedad, Morales kwa makusudi baada ya kuumiliki mpira uliokuwa unaambaa ambaa kwenye lango lake.


Hata hivyo Henry Martinez aliechukua jukumu la kupiga mkwaju wa penati kufuatia maamuzi yaliyochukuliwa na Manuel Zeleya, alikosa na hivyo kuufanya mchezo huo kumalizika kwa matokeo ya sare ya bao moja kwa moja.


chanzo: bongospecial

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top