Habari Kali
Loading...

BREAKING NEWS: GARI LILILOBEBA NG’OMBE LAPATA AJALI UBUNGO DAR, TAZAMA PICHA HAPA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mfanyabiashara wa mifugo hiyo, Abdalah Juma,  akionyesha eneo la bega aliloumia katika ajali.
Gari lilivyokuwa baada ya ajali.
Mifugo ikiwa kando ya barabara baada ya ajali.Eneo ajali ilipotokea.
MFANYABIASHARA mmoja wa mifugo (ng’ombe) na dereva waliokuwa katika lori lililokuwa limebeba mifugo hiyo, leo wamenusurika katika ajali iliyotokea asubuhi  eneo la Ubungo-Mataa,  jijini Dar es  Salaam.
Gari hilo lililokuwa limebeba ng’ombe wapatao thelathini likitokea  Wilayani Kondoa,  Dodoma, limepata ajali na ng’ombe kadhaa kuumia sehemu mbalimbali za miili .
Wakizungumza na mtandao huu, mashuhuda wamesema tukio hilo lilifuatia  mwendesha pikipiki (bodaboda) kukatiza kwa kasi mbele ya gari hilo na dereva alipoamua kuwakwepa, gari lilianguka.
Aidha mfanyabiashara wa mifugo hiyo, Abdalah Juma,  amelipongeza jeshi la polisi na askari kwa ulinzi  walioufanya hapo kwani hakuna kitu kilichopotea.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top