Habari Kali
Loading...

SINGIDA: FUNDI REDIO AFIA KWENYE NYUMBA YA WAGENI ALIPOKUWA AKINGONOKA NA KIMADA WAKE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Singida.Fundi radio maarufu mjini Singida, Daniel Mosha (50), amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa mjini hapa, baada ya kuugua ghafla akiwa amelala katika nyumba ya kulala wageni na rafiki yake wa kike.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Singida, SACP, Geofrey Kamwela alisema kuwa fundi huyo amefariki dunia Oktoba 14 saa 10.30 jioni katika nyumba ya kulala wageni ya Cheyo alipokuwa chumba namba nne.
Alisema Mosha alifariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Mkoa mjini Singida.
Alisema kuwa Oktoba 13 jioni marehemu akiwa na rafiki yake wa kike wa muda mrefu ambaye ni mwalimu wa Shule ya Msingi Manguanjuki, Manispaa ya Singida(jina tunalo) walipanga chumba katika nyumba hiyo ya wageni kwa ajili ya mapumziko ya usiku mzima.
“Ilipofika alfajiri saa 11 Oktoba mwaka huu, mwanaume huyo alianza kuugua ghafla huku akikoroma, ndipo mwalimu huyo alitoa ripoti juu ya hali mbaya ya mpenzi wake wa muda mrefu kwa meneja wa nyumba hiyo ya kulala wageni,” alisema na kuongeza kuwa uchunguzi wa awali chumbani zilikutwa paketi tupu za pombe zilizotumika.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top