Habari Kali
Loading...

UNYAMA...!! Mama na Watoto wake Wawili wachinjwa kinyama mkoani Tabora

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa mapanga usiku wa kuamkia juzi.
 
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika Kijiji cha Nata wilayani Nzega mkoani Tabora.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzan Kaganda, jana aliwataja waliouawa kuwa ni mama Leticia Thomas, Marietha Nicolaus ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi Mwanaruru na Magreth Nicholas ambaye umri wake haukutambulika.
 
“Mama wa watoto hao aliuawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga sehemu za kichwani na bega la kushoto, hali iliyosababisha apoteze maisha hapo hapo kutokana na majeraha mengi.
 
“Lakini pia watoto Marietha na Magreth nao walikatwakatwa hivyo hivyo… mauaji haya ni mabaya, tunaendelea na msako mkali wa kuhakikisha wahusika wanatiwa nguvuni,” alisema Kamanda Kaganda.
 
Alisema mpaka sasa chanzo cha mauaji hayo ya kinyama hakijajulikana, ingawa kuna taarifa kuwa inawezekana yamesababishwa na masuala ya mapenzi.
 
“Polisi tunaendelea na uchunguzi wetu wa kina, hatujapata chanzo cha mauaji haya, tunaomba mtupatie muda wakati huu ambao askari wangu wanaendelea na kazi,” alisema Kamanda Kaganda.
 
Alisema mpaka jana hakuna mtu hata mmoja aliyetiwa mbaroni kuhusiana na mauaji hayo.
 
“Kwa vile polisi tunafanya kazi zetu kisayansi, naamini tutafanikiwa ingawa mpaka sasa hakuna mtu aliyetiwa mbaroni,” alisema Kamanda.
Alisema taarifa za kugundulika kwa miili hiyo zilitolewa na majirani ambao walilazimika kwenda kumwangalia mama Magreth baada ya kuona amechelewa kuamka.
 
“Inaonekana baada ya tukio lile kulipopambazuka asubuhi, mama Magreth alikuwa hajafungua mlango majirani wakaamua kwenda kugonga mlango walipoona kimya wakaamua kuvunja mlango na kukuta familia yote imeuawa,” alisema Kamanda.
 
Matukio ya watu kuchinjwa yamekuwa yakitokea kila mara ambapo Septemba 16 mwaka huu, mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Melasi Ndabi aliuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kufika nyumbani kwake katika Kijiji cha Lisu wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top