Imedaiwa kuwa kabla ya majambazi hao hawajafanya mauaji hayo, waliuteka Mtaa wa Kisesa kwani jirani na duka la mfanyabiashara huyo kulikuwa na mafundi baiskeli ambao walizuiwa kupiga kelele na wauaji hao.
“Tukio hili lilitisha kwa sababu lilitokea mita kama 55 kutoka kituo cha polisi na hawakutoa msaada wowote,” alisema shuhuda mmoja.Akisumulia tukio hilo, mfanyakazi wa marehemu aitwaye Emmanuel Kulwa alisema bosi wake huyo alifika dukani saa mbili usiku ghafla wakati analifunga duka aliona mtu akiwa amevaa koti jeusi ambaye alipiga risasi kadhaa hewani, yeye akakimbia.
Nestory Andrew enzi za uhai wake.
“Baada ya hali kutulia nilirudi dukani nikakuta bosi wangu ameshauawa
na mwili wake ukiwa umepelekwa Hospitali ya Mkoa Sekeoture,” alisema.
Mke wa marehemu, Sara Limbu alisema alishuhudia tukio hilo la kuuawa
mume wake baada ya kushuhudia risasi zikirindima eneo la tukio.“Nilikimbia lakini nilirudi dukani baadaye na kumkuta mume wangu ameshafariki kwa kupigwa risasi mbili kifuani… ameniachia watoto sita. Mungu ailaze mahali pema peponi roho yake,” alisema mama huyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >