Mwisho wa enzi! Jamaa mmoja aliyetambuliwa kwa jina moja la Mbulu amekutwa kwenye jumba bovu akiwa amekufa kisha mwili wake kutoa harufu kali huku ukiliwa na paka.
Mwili wa Mbulu ukitolewa ndani ya jumba bovu.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo, maiti ya jamaa huyo
iligundulika wikiendi iliyopita katika jumba hilo maeneo ya Mtaa wa Simu
B Kata ya Mji Mpya mkoani hapa ambapo wananchi wa maeneo hayo walisikia
harufu kali kutoka kwenye jumba hilo, walipoingia ndipo wakakuta mwili
wa jamaa huyo huku pua na sehemu za uso zikiwa zimetafunwa na paka.Akizungumza na Ijumaa Wikienda, mwenyekiti wa mtaa huo, Maneno Kifea ’Ticha’ alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.Licha ya harufu kali mwanahabari wetu alijitosa na kuingia kwenye jumba hilo ambapo alishuhudia mwili wa jamaa huyo ukiwa umeharibika.
...Mwili ukipakizwa kwenye gari.
Hata hivyo, serikali ya mtaa huo ilitoa taarifa polisi ambao walifika
na kuuchukua kisha kwenda kuuhifadhi kwenye Hospitali ya Rufaa ya Mkoa
wa Morogoro huku uchunguzi ukiendelea juu ya kifo chake.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >