Estelina Sanga ‘Linah’ na shostito wake, Winfrida Josephate ‘Recho’ wakilishana keki kwa mdomo.
Hamnazo? Masistaduu wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’ na shostito wake, Winfrida Josephate ‘Recho’, wamefanya mambo ya aibu mbele ya kadamnasi.
Tukio hilo la aibu lililoshuhudiwa na Ijumaa Wikienda, lilijiri hivi karibuni usiku kwenye bwawa la kuogelea (swimming pool) ndani ya Hoteli ya Regency-Mikocheni jijini Dar ambapo kulikuwa na ‘bethidei’ ya Recho.Awali, mastaa hao walianza kwa kulishana keki kwa staili ya njiwa (kwa mdomo), jambo lililoibua minong’ono mahali hapo.
Winfrida Josephate ‘Recho’.
Kama haitoshi, baada ya tukio hilo, wawili hao waliweka mapozi tata
wakipiga picha zilizowaonesha nusu utupu huku vinguo walivyovaa vikiacha
wazi sehemu kubwa ya maumbile yao nyeti.“Duh! Hawa watoto sasa ni too much, waone walivyojiachia na vivazi vya aibu, yaani hawatazamiki mara mbili,” alisikika mmoja wa wahudhuriaji wa pati hiyo.Baada ya kunasa tukio hilo, mwana-habari wetu aliwafuata wawili hao kutaka kujua kulikoni kujiachia kihasara-hasara ambapo waliomba waachwe wafanye yao.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >