Habari Kali
Loading...

Mama Aliyemsaidia Mwanae Kubaka Atupwa Jela Miaka 30 Sawa Na Mwanae

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Mama aliyemsaidia mwanawe kubaka , Regina Kigelulye, ametupwa jela miaka 30 sawa na mtoto wake ambaye alikuwa anakabiliwa na kosa la kubaka, Sagimembe Mroso.
 
Mtoto huyo pamoja na kwenda jela miaka 30 amepewa adhabu ya kuchapwa viboko 12, sita akiingia jela na sita akitoka.
 
Mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Wilaya ya Mpwapwa, Paskal Mayumba mwendesha mashitaka wa Polisi Godwin Ikema alisema watuhumiwa hao Sagimembe Mroso na mama yake Regina Kigelulye, wakazi wa mtaa wa Hazina mjini Mpwapwa, Machi 6, 2014 walikula njama ya kumbaka Belita Ndahani.
 
Ilidaiwa kuwa mtuhumiwa namba moja Sagimembe Mroso alifanya kosa hilo kinyume na kifungu namba 130(A) na kifungu kidogo 2 na kifungu 131(1) na sheria namba 16 ya kanuni ya adhabu.
 
Aidha ilidaiwa kwamba mshitakiwa wa pili Regina Abdalah Kigelulye alimsaidia mwanawe huyo kufanikisha tukio hilo kwa kufunga mlango kwa nje ili mwanamke huyo ashindwe kutoka nje.
 
Kitendo hicho kilielezwa kuwa kinyume na kifungu namba 22 kifungu kidogo cha 1 na sheria ya kanuni ya adhabu namba 16.
 
Mayumba aliiambia Mahakama kuwa siku ya tukio Regina akiwa muuguzi katika hospitali ya Benjamin Mkapa alimchukua Belita Ndahani aliyekuwa akimuuguza baba yake katika hospitali hiyo na kwenda kulala nyumbani kwake na ndipo alipomfungia mlango kwa nje na mwanawe huyo wa kiume huku akimsihi yeye ni mtu mzima hivyo asipige kelele ndipo alipomwingilia kinyume na ridhaa yake.
 
Aidha ilidaiwa mahakamani hapo kwamba mama huyo hakuridhika na kitendo hicho akawa anapiga makelele na majirani walipoulizia kelele hizo waliambiwa kwamba mama huyo alitoka kijijini hivyo alikuwa anaogopa watu aliokuwa anawaona ndani ya luninga.
 
Hata hivyo maswali yalipoongezeka alimfungulia mlango na kumuamuru mwanawe amsindikize hospitalini kwamba alipofika korongoni alimbaka tena.
 
Pia aliiambia Mahakama kuwa kutokana na kumbukumbu zilizopo zinaonesha kuwa mtuhumiwa anaishi na virusi vya Ukimwi hivyo alimbaka mama huyo bila kutumia kinga na kumhatarishia kupata maambukizi na yeye.
 
Aliongeza kuwa hospitali ilimwanzishia na kwamba mama huyo amepima mara kadhaa lakini imeonesha kuwa hana virusi vya Ukimwi. Hata hivyo alisema kuwa baada ya kufanyiwa kitendo hicho mumewe alimfukuza nyumbani na mgonjwa wake ambaye alikuwa ni baba yake alifariki dunia sasa ameathirika kisaikolojia.
 
Akitoa hukumu Hakimu Mayumba alisema kwamba kwa mujibu wa kifungu namba 22 kidogo 1 (C) kinachosema atakayesaidia kufanikisha uharibifu kutendeka au kwa kutazama kuwa mazingira yako salama adhabu yake ni sawa na aliyetenda kosa hilo, alimtupa jela miaka 30.
 
Wakijitetea kabla ya hukumu mshitakiwa wa kwanza (mtoto) aliomba Mahakama impunguzie adhabu kutokana na kuwa yeye ana watoto watatu na anaishi na virusi vya Ukimwi.
 
Mtuhumiwa wa pili aliiambia Mahakama kuwa yeye ni mzee ana miaka 60, pili ana watoto 10 wakiwemo watoto yatima ambao anawalea yeye, pia ana ugonjwa wa shinikizo la damu hivyo aliiambia Mahakama impunguzie adhabu.
 
Hata hivyo Hakimu Mayumba akitoa maelezo alisema mashahidi na vielelezo vilivyofika mahakamani vimewatia hatiani watuhumiwa hao na kwa kuzingatia sheria kifungu na 130 (1) sura ya 16 ya kanuni ya adhabu, mtuhumiwa namba 1, Sagimembe Mroso alihukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 30 jela na kuchapwa viboko 12.
 
Aidha mtuhumiwa namba 2, Regina Kigelulye kwa kuzingatia kifungu 22 kifungu kidogo (1)C na sheria namba 16 ya kanuni ya adhabu Mahakama ilimtupwa jela miaka 30 .
 
Pamoja na dhabu hiyo Mahakama iliagiza mali zao kupigwa mnada kulipa fidia ya Sh milioni 5 kama sehemu ya fidia ya kudhalilishwa, kumpoteza baba yake, na kupoteza ndoa yake kwa Belita Ndahani.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top