Habari Kali
Loading...

Mwanaume Achapwa Vibao Na Mkewe Jijini Mwanza!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Kuna kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani Mwanza kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.

Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni maeneo hayo ambapo Irene alimfuma mumewe akiwa baa na mchepuko wakiponda raha.
 


Kwa mujibu wa shuhuda wetu ambaye ni mtu wa karibu wa wanandoa hao, mwanaume huyo alidaiwa kuwa na kawaida ya kutoka na mchepuko wake ambao jina lake halikupatikana mara moja na kwenda kujiachia sehemu mbalimbali za starehe hivyo kumfanya mkewe aweke mtego wa kuwanasa wawili hao.
 
“Mwanzoni Irene alikuwa akisikia tu maneno kwa watu lakini ili apate uhakika alianza kumfuatilia mumewe na kumwekea mtego ndipo akamnasa mchana kweupe,” alidai shuhuda huyo.
 
Shuhuda huyo aliendelea kumwaga ‘ubuyu’ kuwa baada ya mke kufika eneo la tukio aliwakuta wawili hao wakiendelea kula raha ndipo alipoamua kuanzisha timbwili zito.

“Yaani Irene alipowanasa alimkamata kwanza mchepuko wa mumewe ili autwange lakini ulimponyoka na kukimbia ndipo alipoamua kumshushia kipondo kizito mume wake.
 
“Baada ya timbwili kuwa zito walitoka nje ya baa na kuendelea kuzichapa huku mwanaume akizidiwa nguvu na kujikuta akizabuliwa na mkewe,” alisema shuhuda huyo.
 


Ilisemekana kwamba baada ya mume huyo kuzidiwa na kipigo hicho alisikika akisema: “Niache tukayamalize nyumbani.”  
 
Hata hivyo, pamoja na utetezi, mke hakutaka kumwelewa kwani aliendelea kumpa kibano hadi jamaa alipotoka nduki.
 
Huku akiwa na hasira, Irene alisema kuwa aliamua kufanya hivyo kwani alikuwa amechoshwa na vitendo hivyo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top