Habari Kali
Loading...

AL-SHABAAB WATOA TAMKO LEO HII BAADA YA SHAMBULIO LA GARISSA NA KUUA WATU 147!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Kundi La Wanamgambo Wa Al-Shabaab Wa Nchini Somalia, Leo Tarehe 4/4/2015 Asubuhi Na Mapema, Wametoa TAMKO Lao Kuhusiana Na Mfululizo Wa Matukio Ya Kushambulia Nchini Kenya Na Sababu Za Wao Kufanya Hivyo, Huku Wakieleza Dhamira Yao Ya Kuendelea Kufanya Matukio Zaidi Iwapo Madai Yao Hayatatimizwa Na Serikali Ya Nchi Hiyo.


Madai Makuu ya msingi ya Al-Shabaab waliyoainisha kwenye Tamko hilo, wamesema Serikali ya Kenya imekuwa ikiwaua Waislamu kwenye Ukanda wa Afrika Mashariki, huku wakitolea mfano wa historia ya Mauaji ya kutisha ya Waislamu yaliyotokea katika miji ya Wagalla na Garissa ambapo wamedai zaidi ya Maelfu ya Waislamu waliuawa na kuacha makovu yasiyofutika kwa ndugu na jamaa wa wahanga hao. 

Pia, wameshutumu Majeshi ya Kenya kwamba yamekuwa yakiwafanyia vitendo vibaya raia wa Kiislamu wa Somalia vikiwemo ubakaji, mauaji na udhalilishaji wa wanawake wa Kiislamu kwa 'baraka' za serikali ya Kenya.

Zaidi katika tamko hilo, Wanamgambo hao wamedai kwamba iwapo Serikali ya Kenya haitaacha kuwatendea unyama Waislamu, basi wataendelea na mashambulizi yasokwisha!

Soma zaidi TAMKO hili hapa;


Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top