Habari Kali
Loading...

MAITI YENYE UTATA YAFUKULIWA NA KUKUTWA IMEKATWA SEHEMU ZA SIRI!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


Hali ya taharuki imewapata wakazi wa kijiji cha Park Nyigoti kata ya ikoma wilaya ya Serengeti baada ya mahakama kutoa ruhusa ya kufukuliwa kwa mwili wa Bi. Celina Jumapili aliyefariki dunia na kuzikwa tarehe tatu marchi kisha kuonekana utata katika kaburi lake ambalo leo limefukuliwa na kukuta sehemu ya viungovya  mwili wake vimekatwa  vikiwemo kiganja cha mguu vidole vya mkono wa kushoto na sehemu za siri zikiwa zimenyofolewa  hali iliyozua mashaka makubwa kwa wakazi wa  kijiji hicho.
Tulifika katika kijiji cha Park Nyigoti wilayani Serengeti na kushuhudia zoezi la kufukua kaburi likiendelea ambapo inadaiwa kuwa marehemu Celina alifariki dunia tarehe mbili ya machi na kuzikwa tarehe tatu lakini tarehe ishirini na mbili ndugu walikuta sehemu ndogo ya kaburi likiwa limefukuliwa ndipo wakataka kuhakiki kuwa mwili wa ndungu yao upo au umechukuliwa. baada ya kupata kibali cha mahakama wamefukua na kukuta viungo hivyo vikiwa vimekatwa na watu wasiyo julikana.
 
Akielezea namna tukio ilo lilivyo tokea mama wa marehemu Celina Bi Nyahende Kwihamba amesema tukio hilo  limewaweka katika mashaka makubwa kutokana na kijiji hicho kushamiri kwa tabia ya ushirikina na kuiomba serikali isaidie kumaliza tabia hiyo.
 
Kijiji cha Park Nyigiti mara kwa mara kimekuwa na matukio ya kikatili kwani tarehe mbili ya mwezi marchi  watu watano waliuawa na wananchim kwa kuwatuhumu kuwa wanajihusisha na imani za kishirikina na tarehe saba ya mwezi wa pili kijiji jirani cha lubanda waliuawa watu wawili na kuchoma moto nyuma saba kwa kama tuhuma hizo hizo.


Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top