Pamoja na kuwa kuna
wanawake husita kuolewa, lakini jambo hili si kubwa sana kwa wanawake
kama ilivyo kwa wanaume.Kwa kiasi kikubwa katika suala la kutaka kuingia
ndani ya ndoa, wanawake ni wengi ambao hutaka kufunga ndoa kuliko
ilivyokwa wanaume. Hilo tunaliona wazi tokana na shamra shamra awazo
nazo mwanamke wakati wa maandalizi ya shughuli za Ndoa na Harusi. Hata
hivyo, kwa wale wanawake wachache ambao husuasua kuolewa hizi ni baadhi
ya sababu zinazopelekea kusuasua huko. (Izingatiwe hii ni kwa wanawake
ambao hawajawahi kuolewa kabisa)
1.Vigezo vilivyopitiliza viwango (hasa kwa muonekano)
Wanawake wengi hasa wa
umri mdogo (lakini unatosha kuolewa) hutumia muda mwingi katika kuchagua
aina ya mwanaume ambaye angependa awe mume wake.Wanawake hawa hujiamini
zaidi na kusimamia sifa zile ambazo huamini ni muhimu mwanaume wa
kumuoa awe nazo.Vigezo hivyo huwa hata kwa misingi ya muonekano wa
mwanaume huyo – kuna wale ambao hutaka mwanaume huyo wa kumuoa awe na
sifa kama vile, mrefu, aliyejazia kifua, mtanashati, sauti nzuri
n.k.Inaweza kuwa kama mzaha na ikaonekana ni kipengele kidogo sana
lakini bado kuna wale ambao anaweza kuwa tayari kuolewa ila hataki
sababu tu huyo mwanaume hafananii vile ambavyo yeye anataka mumewe awe.
2. Kutaka mwanaume tajiri
Kuna wanawake ambao tayari
wameshajiwekea akilini kuwa hatakubali kuolewa na mwanaume yeyote yule
ambaye hana pesa nyingi.Yupo tayari kuolewa ila si kwa mwanaume mwenye
uwezo wa kawaida – hata ikitokea mwanaume ana uwezo kidogo wa kuweza
kujitosheleza, yeye bado huona huyo mwanaume hamfai hadi pale tu atakapo
pata yule ambaye anahisi ataishi maisha ya kifahari.Hivyo hukazana
kusubiri na kujitahidi kuwinda aina ya mwanaume ambaye atakuwa na uwezo
mkubwa, bila kujalisha kama huyo mwanaume kampita sana umri.
3. Kutompata Mwanaume Ampendae
Hili ni kama tu vile
ilivyo kwa wanaume ambao huamini ndoa haiwezekani na haifai bali tu hadi
pale umpatapo yule ambaye unampenda na unaamini anakupenda pia.Wengi
katika kundi hili huamini kuwa mafanikio ya ndoa kigezo kikubwa ni
kupendana tu na mengine hufuata kwenye sababu ya upendo. Kunawanawake
vigezo vya mwanamme awe vipi havina umuhimu kabisa katika kutaka kuamua
kuolewa.Yeye kikubwa anataka ampate mume ambaye atampenda kwa dhati na
huku akiwa na matumaini kuwa huyo mume atampenda na yeye pia kwa dhati.
Huyu mwanamke anaaminimsingi bora wa ndoa ni mapenzi ya dhati kati ya
yeye na mmewe basi! Hana haraka hadi pale atakapompata mwanaume
akampenda ndipo atakapokuwa tayari kuolewa.
4. Kuchagua mno Wanaume wa Kumuoa (SO SELECTIVE)
Kuna wale wachache ambao
akili hubadilika kama kinyonga; wasioridhika wala kujitambua ni nini
wanataka ama mwanaume wa aina ipi wanataka.Akija wa mwenye uwezo
atasemanataka wa kuchuma nae, akija asiye na uwezo atatoa sababu tu hata
kama kumlaumu kuwa inaonyesha hajitumi kutafuta maendeleo.Akija wa
kabila hii, atasema hapana hao wana tabia hii mimi siitaki! Yaani kwa
ufupi ni mtu asiyeisha kutoa kasoro za wale ambao wanajitokeza kutaka
kumuoa.Hatimaye inaweza tokea muda wa kuolewa ukapita na akaishia
kupunguza uchunguzaji lakini ikiwa hata wanaume wa umri wa kufaa kumuoa
kutokuwepo tena katika soko.
5. Kujiona ni mzuri sana
Kuna wanawake ambao ni
kweli Mwenyezi Mungu kawajaalia uzuri hasa (uzuri wa muonekano), anakuwa
ni mzuri kiasi kwamba wake kwa waume wote wanamkubali kwa uzuri huona
hata wote kumtamani.Hata hivyo hapo hapo kuna wale ambao huwa ni wazuri
kawaida –ila kwa mtazamowake hujiona ni mzuri mno hakuna mfano kama
yeye; kitendo ambacho kwa wachache kwenye kundi hili hufanya kujiona
yeye ni yeye na kuwa kwa yeyote kuwa na yeye huyo mtu anatakiwa atambue
kuwa ana bahati sana.Kitendo hiki hukuza nyodo za haliya juu ya mwanamke
mwenye mtazamo huu, kiasi kwamba wanapojitokeza wanaume kutaka kuoa –
anaweza onyesha tabia kama maringo, dharau na kiburi.
6. Kujiona ana Umri mdogo
Binti yeyote wa miaka 18
na kuendelea anaruhusiwa kuolewa endapo tu karidhia kuolewa.Wanawake
wametofautiana mipangilio yao ya kimaisha, kuna wale akiwa katika umri
wa kuolewa hutamani sana kuolewa na kuna wale ambao hupenda kuolewa
wakiwa wakubwa zaidi.Katika kundi hili umri kuwa mdogo hutegemeana, kuna
mwingine anakuwa na umri wa miaka 25 na bado akajiona mdogo na hali
kuna mwingine anakuwa na miaka 20 na akajionani mkubwa na anafaa
kuolewa.Hii pia ni kwa wanawake wale ambao huwa na malengo ya kutotaka
kuharakisha katika ndoa.Anapokuwa na umri ambao anaweza kuolewa lakini
yeye hayupo tayari kwa muda huo, huwa ni kikwazo kwake kuingia katika
ndoa.
7. Maradhi hasa UKIMWIHili kama lilivyo kwa wanaume -
Pamoja na kuhamasishwa
kwingina wataalamu wa maradhi ya HIV/AIDS kuwa mtu hata ukiwa
umeathirika unaweza kuwa na mahusiano na hata kuoa na kuwana watoto;
bado haisaidii sana kwa vijana wanaojitambua kuwa ni waathirika wakiwa
bado ni wadogo, hawajaoa/olewa ama kuwahi kuwa na mtoto.Wengi sana
hukata tamaa na huona ni kheri kubaki walivyo kuliko kuingia katika
ndoa, hasa tokana na imani kuwa wanawake wakizaa wakati ni waathirika;
afyahudhoofika zaidi.
8. Kutaka maisha ya Tamthilia (Ndoa za kuishi kwa furaha milele)
Kutokana na kukua kwa
idadi ya tamthilia nyingi ambazo huonyesha maisha ya kimagharibi zaidi;
kumekuwa na dhana kwa baadhi ya wanawake kutaka hayo maisha ya tamthilia
yawe na kwao pia.Hilo linafanya vigezo ambavyo mwanamke huyo anatumia
kuchagua ama kukubali mwanaume kumuoa kutotimiza yale ambayo yeye
binafsi anatarajia.Wengi hushindwa kutambua kuwa hakuna maisha ya furaha
milele, na hasa kuwa maisha ya maigizo yapaswa kuchanganya na zako
kuweza kufanya maamuzi ya kipi kiigwe na kipi kiachwe kama kilivyo.
9. Kuona taasisi ya Ndoa kama Utumwa
Mtazamo huu kwa wanawake
wenye msimamo huu, huchangiwa na baadhi kama haya:- Usomi: Aina ya usomi
ambao hupelekea kwa baadhi kuwa na tafsiri tofauti juu ya ndoa, haki,
majukumu na mengine mengi.- Kushuhudia ndoa mbovu: Hii inaweza kuwa ya
wazazi/walezi wake wenyewe (pengine mama aliteswa sana), na hata ndugu
wakaribu kama vile kushuhudia kila ndoa ya ndugu yake anayoijua mwanamke
huishi kwa mateso, manyanyaso na maisha ya taabu na kuonewa.- Kuwa na
uwezo sana wa kujitosheleza ambao unaweza kumtimizia na kufanya lolote
lile ambalo anataka katika maisha. Kwake kuwa na mwanaume kamamume kwake
anaona kama ni utumwa.
10. Kutokuwa kabisa na mshipa wa hisia za kufanya mapenzi
Kuna wanawake wale
wachache waliozaliwa hivyo. Hawana hisia yoyote ile ya kimwili ya kuweza
kupata hisia za kuweza kujisikia ama kutamani kufanya mapenzi.Wengi wa
aina hii ya wanawake huwa ni waoga sana wa kuwa karibu na mwanaume, na
kwa wale ambao wamewahi hata jaribu baadhi huona kama kitendo cha ndoa
ni kero, unyanyasaji na uchafu.Hivyo wazo la kuwa akiolewa anatarajia
kufanya kitendo cha ndoa mara kwa mara kinamvunja kabisa hamu ya kutaka
kuolewa.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >