Labda
tunajisifu kuwa tuko kwenye ulimwengu ambao teknolojia imerahisisha
vingi.. unahitaji kuwasiliana na mtu yuko mbali.. Viber, Facebook,
Twitter zinasaidisa yaani kirahisi kabisa.
Kutokana
na Sheria za nchi kuwa tofauti, hii story ya Marekani kuruhusu mtu
kuomba talaka kwa kutumia message ya Facebook imenishtua kidogo.
Ishu
ilianzia utata ulioanza mapema kabisa Ellanora Baidoo alipofunga ndoa
ya kimila mwaka 2009 na mpenzi wake Victor Sena Blood-Dzraku, lakini
uhusiano wao ukawa kama umevunjika; bwana anaishi mahali ambako bibi
hapajui, mawasiliano yao ni Facebook basi !!
Bibi
akaona isiwe taabu, akaenda Mahakamani kuomba Mahakama impe ruhusa
aombe talaka yake kupitia message ya Facebook kwa kuwa ndio njia pekee
ambayo walikuwa wakitumia kuwasiliana.
Jaji
wa Mahakama ya Manhattan aliruhusu bibi huyo abadilishe status yake,
aweke #single halafu huyo bwana afikishiwe ujumbe wa kudai talaka
kupitia message ya Facebook, ambayo toka message hiyo imetumwa jamaa
hakujibu.
Wakili
wa mwanamke huyo Andrew Spinnell amefurahishwa na uamuzi huo wa
Mahakama, anaamini kwa sasa kuna haja ya kutumia hata hizi social
networks kutoa hukumu kama ilivyofanywa kwa mume wa Baidoo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

