Habari Kali
Loading...

KIOJA CHA MWAKA..!! JAMAA AAMUA KUFUNGA NDOA NA NYOKA AINA YA COBRA HUKO INDIA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
midigama-feb-11_183-postLabda ulishtushwa na ile ya bibi harusi kujioa, kisa umri unaenda na hajaolewa ..! Kuna ile nyingine ya mapacha kuolewa siku moja na mabwana watatu ambao hata wao walikuwa wakiwachanganya siku ya harusi, labda hiyo ilikufurahisha.. nyingine ilikuwa ya mwanamke kufunga ndoa na paka wake.
Ya leo itakushangaza pia.. eti ndoa ya binadamu na nyoka?
Iko kwenye HEADLINES toka India, inamhusu Sandeep Patel ambaye alipanga mikakati ya kumuoa nyoka aina ya cobra .. anasema huyo ndio mwanamke mrembo ambaye alikuwa na ahadi nae kwamba atamuoa siku ya Pasaka.
Watu walitaka hii isiwapite yani, unaambiwa zaidi ya watu 12,000 walisogea kwenye hekalu ambako ndoa ilikuwa inafanyika katika kijiji cha Badwapur, India.
Muda ulipofika  taratibu zote zikaanza kama kawaida.. mhubiri wa kihindi aliyekuwa anafungisha ndoa hiyo aliwaambia watu kuwa jamaa huyo alikuwa anapenda nyoka tangu akiwa mtoto.. alikuwa anatembea, anakula na kuchezesha ulimi wake kama anavyofanya nyoka.
.
Sandeep Patel akiwa na nyoka wake.
Polisi waliingia kwenye ukumbi huo na kuzuia harusi hiyo isiendelee, wakawakamata bwana harusi pamoja na baba yake.. alafu wakaanza kazi nyingine ya kuwatawanya watu wote waliokusanyika kushuhudia tukio hilo la kihistoria.
Hii inafanana na ile nyingine ambayo imetokea Mexico, jamaa alikaa kwenye HEADLINES kwa kuoa mamba.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top