Habari Kali
Loading...

TAZAMA PICHA HAPA HUYU NDIYE KIJANA ANAYE ZIMIKA NA VIBIBI VYA MIAKA SABINI !

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >


 
Kyle Jones (31) akiwa na mpenzi wake, Karen, anasema huvutiwa tu na wanawake wanaomzidi umri kwa makumi kadhaa ya miaka.
Huyu ndiye Kyle, kijana mtanashati anayeachwa hoi na penzi la vibibi vizee.
Kyle and Karen wakiwa katika ‘mahaba niue’ walipokutana mara ya kwanza.
Kyle akiwa na mmoja wa ‘magelfrend’ zake wazee.
Kyle akiwa kakolea katika hisia kali na mpenzi wake mzee zaidi aitwaye Marjorie McCool, mwenye umri wa miaka 91.
KYLE JONES wa Pittsburgh, Pennysylvania, nchini Marekani, aliye na umri wa miaka 31, ameelezea kuvutiwa kwake na wanawake ambao wanamzidi umri kwa makumi kadhaa ya miaka.  Kijana huyo ameweka wazi  kwamba katika kipindi cha miaka mitano iliyopita, hajafanya mawasiliano yoyote ya kimapenzi na mwanamke aliye chini ya umri wa miaka 60.

Kyle ambaye alifichua hayo jana kipindi maalum cha kituo cha televisheni cha TLC kiitwacho ‘My Strange Addiction’ (Tamaa Yangu ya Ajabu), alisema mpenzi wake mzee zaidi wa kike ana umri wa miaka 91.

“Nawapenda wazee wa kike kwa kila kitu.  Napenda harufu yao, napenda kuwa karibu nao na hisia zao,” alisema katika kipindi hicho kijana huyo ambaye alipokuwa na umri wa miaka 18 alikuwa tayari amepata mpenzi wa kike aliyekuwa na umri wa miaka 50.

Kyle alianza kuvutiwa na wanawake wazee akingali shuleni ambapo mtu wa kwanza kumvutia alikuwa ni mwalimu wake aliyekuwa na umri wa miaka 65 wakati huo.

“Nilimpenda kwa nywele zake nyeupe, umbo lake, na kila kitu,” anasema.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top