Habari Kali
Loading...

ANG’OLEWA JICHO, ARUDI NYUMBANI, AKUTA MAFURIKO

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
MTU mmoja, Mohamed Omary (40) anayesumbuliwa na jicho kwa muda mrefu ambaye ni mkazi wa Kilwa mkoani Lindi, wiki iliyopita alijikuta katika mazingira magumu baada ya kufanyiwa upasuaji uliong’oa jicho lake, lakini aliporejea nyumbani kutoka hospitalini Ocean Road jijini Dar es Salaam, alikuta nyumba ya mwenyeji wake iliyopo Magomeni, imekumbwa na mafuriko.
Mohamed Omary akiwa na bandeji jichoni.
Akizungumza na gazeti hili hivi karibuni, Omari alisema kwa muda mrefu amekuwa akisumbuliwa na tatizo la jicho na amejaribu kupata matibabu katika hospitali kadhaa mkoani Lindi bila mafanikio, kabla ya ndugu na jamaa zake kumshauri kwenda Muhimbili, jijini Dar es Salaam.
“Baada ya kufika Muhimbili walinifanyia uchunguzi na wakagundua kuwa ana tatizo la kansa ambalo liliwafanya wanihamishie Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ambako nilipofika na kufanyiwa vipimo, nikafanyiwa upasuaji wa kulitoa kabisa,” alisema.
Alisema baada ya kufika nyumbani hapo akiwa na maumivu ya upasuaji na kukuta mafuriko, jicho lake liliuma mara mbili kwani alikosa sehemu ya kupumzika kama alivyoshauriwa na madaktari.
“Hali yangu kimaishi ni mbaya, sina pesa ya kunisaidia kujikimu kwani nipo tu kwa ndugu yangu hapa Magomeni, sina namna ya kujisaidia hata katika kupata tiba ya kidonda cha jicho langu, ninaomba mwenye uwezo anisaidie,” alisema mwananchi huyo.Kwa yeyote aliyeguswa na matatizo ya Omary anaweza kumpata kupitia namba 0784619470 ambayo ni ya nduguye alikofikia.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top