Habari Kali
Loading...

Tisa wahofiwa kuzama ajali ya boti huko mkoani RUKWA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

WAFANYABIASHARA tisa wakazi wa Kijiji cha Mpasa wilayani Nkasi mkoani Rukwa, wanahofiwa kufariki baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kwenda nchini Zambia kuzama kwenye eneo la Kipwa.
Watu hao walikuwa wakienda Zambia kuuza samaki wabichi ambapo walifikwa na mkasa huo katika Wilaya ya Kalambo.
Taarifa iliyopatikana jana na kuthibitishwa na Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Stella Manyanya, ilisema Meneja wa Usimamizi wa Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (Sumatra) Mkoa wa Rukwa, David Chiragg ameagizwa kufuatilia tukio hilo.
Manyanya alibainisha kuwa Chiragg, ameagizwa kufuatilia  tukio hilo ikiwemo pia kuchunguza chanzo cha ajali hiyo.
Ofisa Mtendaji wa Kata ya Kasanga, Wilaya ya Kalambo mkoani humo, Francis Simfukwe, alikiri kutokea kwa ajili hiyo na kuwataja waliopoteza maisha kuwa ni Mathias Ulaya (20), Mwambe Ntapantapa (21), Godfrey Kazumba (24).
Wengine ni Venas Alberto (35), Kashindi Tantika (25), Linus Maliyatabu (38), Audifas Milele (43), Shabani Kasokota (33) na Fadhili Nkambi (30).
Alisema wafanyabiasahara hao waliondoka juzi jioni katika Kijiji cha Mpasa kuelekea Mpulungu walikokwenda kuuza samaki wabichi.
Alibainisha kuwa watu hao walipofika katika Kijiji cha Kipwa, boti yao ilipigwa na dhoruba lililosababishwa na upepo mkali ulioambatana na mawimbi makubwa yaliyopindua boti hiyo na baadae ilizama.
Simfukwe, alisema kutokana na tukio hilo kutokea nyakati za usiku, jitihada za kuwaokoa wahusika zilikuwa ngumu kwakuwa wavuvi na waokoaji wengine walishindwa kuona vizuri.
Alibainisha kuwa baada ya kucha zoezi hilo liliendelea bila mafanikio kwakuwa hadi sasa hakuna mwili uliopatikana isipokuwa kilichoonekana ni masanduku manne ya samaki waliyokuwa wameyabeba.
chanzo: tanzania daima

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top