Habari Kali
Loading...

Big Brother Africa: Mshiriki wa Kike wa Botswana AJILEGEZA Kwa jembe letu la Kiume ( Idris) linaloiwakilisha Tanzania

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Siku washiriki wa BBA Hotshots wanatambulishwa, mwakilishi wa Tanzania, Idris Sultan alimwambia mtangazaji IK kuwa cheche zake zipo kwenye masuala ya wanawake. Huenda sasa shughuli imeanza.

Baada  ya  binti  mrembo  wa  Botswana( Goitse)  kumzingua  mshikaji ( Idris ) aliyekuwa  ametupa  jiwe kumtaka  awe  mpenzi  wake, hatimaye  Idris  jana alimnasa binti  huyo na kula  naye  dinner pamoja...
 
Ni  kama  ndoto  vile!!....Dinner  hiyo  iliandaliwa  na  kufanikishwa  na  washikaji  zake  wa  karibu  Nhlanhla na JJ  ambao  walisaidia kupika chakula hicho  kuhakikisha kuwa wawili hao wanakuwa na mtoko   utakaowafurahisha.
 
Wakati wote wa dinner, Ellah, Sabina, M’am Bea na Luis walishiriki sehemu yao ya kuwahudumia chakula. Idris alimuuliza Goitse maswali kutaka kumfahamu zaidi na kumuuliza kama anaamini katika uhusiano wa mbali, long-distance relationships. Goitse, hata hivyo alionesha kuvutiwa zaidi na urafiki  tu  kuliko mapenzi.
 
Matukio  yote  ya  Big Brother  yako  hewani  kupitia  site  yako  pendwa  ya  www.bigbrotherafricans.com

Usikubali  kupitwa  na  tukio  lolote....Video  zote, picha  za  washiriki  na  live  updates  mbalimbali  zinaruka  masaa  24  kwa  siku  zote  63  za  shindano  hili.

Unataka  kushuhudia  kila  kitu??  << BOFYA  HAPA>>

Ingia  hapo  juu  kwa  matukio  ya  moja  kwa  moja  toka  ndani  ya  jumba  la  big  brother  africa.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top