Habari Kali
Loading...

NDUGU WAMUUA BABA YAO WAKIGOMBEA 'MAHARI' ILIYOTOLEWA WAKATI DADA YAO ANAOLEWA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

POLISI mkoani Katavi inawashikilia ndugu wawili wakituhumiwa kumuua baba yao mzazi, Sado Shija (45) kwa kumcharanga kwa mapanga, wakigombea mahari iliyotolewa kwa dada yao alipokuwa akiolewa.
 
Imeelezwa kuwa wanandugu hao, Shinje Italam (25) na Shile Italam (20) walikuwa na ugomvi na baba yao huyo, wakigombea ng’ombe 20 zikiwa ni mahari iliyotolewa wakati alipoolewa dada yao.
 
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Katavi, Kamishina Msaidizi wa Polisi, Dhahiri Kidavashari amethibitisha kutokea kwa tukio hilo lililotokea juzi saa mbili na nusu usiku katika kijiji cha Sibwesa, Kata ya Sibwesa, Tarafa ya Mwese wilayani Mpanda, nyumbani kwa marehemu.
 
Alieleza kuwa watuhumiwa hao wanatarajiwa kufikishwa mahakamani wakati wowote baada ya uchunguzi wa awali wa shauri lao kukamilika.
 
Kwa mujibu wa Kidavashari, watuhumiwa hao na mwingine wa tatu ambaye bado anasakwa na Jeshi la Polisi mkoani humo, wanadaiwa kumuua baba yao huyo huku wadogo zao wawili mmoja wa miaka 10 na mdogo wake, wakishuhudia unyama huo.
 
Akisimulia mkasa huo, Kamanda Kidavashari anadai kuwa usiku huo wa tukio, marehemu alikuwa amekaa nje ya nyumba yake baada ya kula chakula cha usiku na watoto wake Mbuke na Ikollo, ghafla alivamiwa na watu watatu miongoni mwao wakiwa wanawe wawili.
 
“Watu hao watatu walikuwa na tochi na mapanga walibisha hodi nyumbani kwa marehemu na kumshambulia kwa mapanga huku watoto wake wadogo wawili wakishuhudia baba yao akiuawa kikatili,” alieleza Kamanda Kidavashari.
via: mpekuzi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top