Habari Kali
Loading...

KIOJA CHA MWAKA...!! ATEMBEA NA WANAWAKE 17 KWA WAKATI MMOJA BILA WAO KUJUANA!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
CB74quDWMAESkhc
Tumezoea kukutana na story za watu kufumaniana majumbani.. kwenye nyumba za kulala wageni na kwingineko, huyu bwana imemkuta Hospitali.. japo huwezi kuliita ni fumanizi lakini jinsi ambavyo kagonganisha wanawake zake 17 ni ishu mtu wangu.
Yuan alipata ajali ya gari China, akawa amelazwa Hospitali kuanzia March 24 2015.. sasa kama kawaida si kuna ndugu jamaa na marafiki wakapata taarifa kwamba ndugu yao kapata ajali, wakawa wanakuja kumjulia hali.. mbaya zaidi ikawa pale ambapo wasichana 17 ambao wote ana uhusiano nao walifika kwa pamoja Hospitali tena bila kujuana.
yn
Baadhi ya wanawake wakiwa na waandishi wa Habari pamoja na Daktari.
Wang Fang ni mwanamke aliyezaa na Yuan mtoto mmoja, amesema hakuwahi kuhisi kama mume wake ana uhusiano na wanawake wengine, kwa sasa kajua hilo amekubali matokeo.. kasema hana haja tena kumpenda mzazi mwenzake.
Mwanamke mwingine Xiao Li nae alikuwa kwenye uhusiano na jamaa kwa zaidi ya miezi 18, alipata uchungu kusikia mpenzi wake amepata ajali.. alipokutana na wasichana wengine Hospitali wote wamekuja kumuona Yuan ilibidi uchungu wote umuishe.. ameona asahau kabisa suala la ndoa na mpenzi wake huyo.
Chinas-Romeo-Car-crash-Casanova-caught-out-at-hospital (1)
Yuan
Wanawake hao wamefungua group lao Facebook, eti kwa sasa wanajadili kuona jinsi ambavyo jamaa huyo amewachezea wote 17 kwa wakati mmoja na wasijue.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top